Huyu jamaa anajua kweli kuchora katuni za kuudhi..Eti hawa ndio viongozi wa Afrika huko China

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
Wiki hii marais kutoka Africa (Tanzania imewakilishwa na PM Kassim Majaliwa) walikutana na Rais wa China ambapo China iliahidi kutoa msaada na mikopo 'isiyo na masharti' ya jumla ya Dola bilioni 60

Hivi ndivyo mchoraji Gado alivyo summarize kila kitu
IMG_20180905_172718.jpg
 
Wiki hii marais kutoka Africa (Tanzania imewakilishwa na PM Kassim Majaliwa) walikutana na Rais wa China ambapo China iliahidi kutoa msaada na mikopo 'isiyo na masharti' ya jumla ya Dola bilioni 60

Hivi ndivyo mchoraji Gado alivyo summarize kila kituView attachment 858099
Kachora picha za Viongozi wote ni za kike aisee.

Pia stara hajaizingatia kwa hao anaodai ni viongozi
 
Nimejaribu kujiuliza,ikiwa bara la Africa watatakiwa kurejesha madeni ya China ,JE wataweza kuhimili gharama zote walizokirimiwa na China LEO HII?
*Kwa fastafasta ($60bn) ni kama tsh 1.3tn kama cost za awali kwa transaction ya Dreamliner yetu ndani ya 300bn 🤣.....kumbe China anaweza kutununulia na kujaza mi-Dreamliner kibao Africa 🤣🤣
 
Hahahahaaaa! good idea but why ladies? African Leaders just like Ladies kwa western countries ama nini.

Why LADIES, nadhani matukio ya hivyo hupatikana mitaa ya MACHANGUDOA mida ya usiku,Ukipaki gari mitaa hiyo tegemea hali hiyo. sasa sijajua kwa viongozi wa kiafrika anamaanisha nini?,Au ndo kusema kila kiongozi anaanika mambo yake ya ndani kwa ...................
 
Nimejaribu kujiuliza,ikiwa bara la Africa watatakiwa kurejesha madeni ya China ,JE wataweza kuhimili gharama zote walizokirimiwa na China LEO HII?
*Kwa fastafasta ($60bn) ni kama tsh 1.3tn kama cost za awali kwa transaction ya Dreamliner yetu ndani ya 300bn 🤣.....kumbe China anaweza kutununulia na kujaza mi-Dreamliner kibao Africa 🤣🤣
$ 60b ni sawa Tsh. Trilioni 140
 
Hiyo picha ni kama pesa zitaenda kwa hao wanaogombania kupatwa.. yaani hao wanaojiuza

Maisha yakiendelea kwa wale wananchi wengine.. huku kwingine matanuzi

Afrika kumaanyisha ndio Afrika ilivyo na viongozi wake.

Kama alimaanisha lingine atajiju.. mimi nakaa na hili..
 
Sasa mbona amechora viongozi wengine wana ma buttock ya kikewakati marais wote walioenda ni wanaume
 
Back
Top Bottom