Kupitia ziara ya rais magufuli kanda ya ziwa, nimebaini kuwa rais anakubalika kwa wananchi kuliko chama chake kinavokubalika
Watu wameweka itikadi zao kando na wanajitokeza kwa wingi kuja...
Habari,
Leo majira ya saa 1 asubuhi,kumetokea tukio la kutisha baada ya tajiri kumjeruhi mlemavu walipokuwa wakigombea mpaka wa ardhi.
Ugomvi huo unatokana na tajiri huyo kujenga kwenye eneo...
Salaam wakuu, Naomba kufahamu hatua za kukana uraia A-Z. Nimezaliwa Tanzania na nimekuwa Tanzania lakini baba yangu sio mtanzania, kwahiyo nataka kuukana uraia wa baba. Naomba mnipatie muanga wenu...
Huku niliko hali si nzuri. Leo nimenunua mafuta ya Petrol shilingi 2550 kwa lita. Sijui huko uliko hali ikoje.
Ki-ujumla mambo ni magumu zile zama za kupanda baiskeli na punda naona zinaanza kurudi.
Leo ikiwa ni weekend murua kabisa! yenye tabasam la kujifariji, nikiwa kama Katibu Mkuu Wa wanaume nawasogezea chimbuko llililosababisha manyang'au kuanza kula ndogo,Udunguaji au kwa majina...
If you want to tell your friends about your own problems, tell them. But don’t discuss what someone told you in private. Whoever hears it will lose their respect for you and will never trust you...
Habari wana jf kuna hii picha nimeikuta kwenye mitandao japo ni ya kutengeneza la
lakini nimeiwazia sana huyu jamaa alikata tama akiwa kwenye hatua za mwisho kuyafikia mafanikio na hata sisi wana...
Sijawahi kuwatch movies au series za kituruki lakin jana wakat na tembea hko netflix nimekutana na tamthilia ya kituruki inaitwa Winter Sun nilifanya kuangalia kama kujaribu kuangalia lakn...
Habari wanaJF, uzi huu maalum kwa wale wapenzi wa comic movies za MARVEL na DC comics twende sawa.
Mwaka 2018 Marvel wameachia movie yao inayoenda kwa jina la BLACK PANTHER ambayo mauzo yake...
Habari wakuu,
Kuna utafiti nafanya, nahitaji kujua Tanesco wana wateja kiasi gani wa umeme.
Nimejaribu kufanya research online lakini sijapata takwimu za miaka ya karibuni, nimeona takwimu za...
mungu sio athumani ni kauli ya wahenga na ina maana kubwa. huko mbeya imetokea ajali mbaya. watu wanaokadiliwa kuwa 15 wamefariki dunia katika ajali hiyo. ni takriban miezi miwili sasa au zaidi...
Habari wakuu,
Nimekwama naomba mwongozo, kwa wale ambao wana ufahamu na uzoefu katika application za visa, nchi nyingi zinahitaji uwe na health insurance itakayoweza kukuhudumia kipindi...
Wafugaji na wakulima ni makundi ndani ya jamii ambayo yanategemeana kwa shughuli za kiuchumi ili kuendesha maisha yao.
Kawaida wafugaji wanatumia ardhi wa shughuli za ufugaji pamoja na kilimo...
Wakuu salamu kwenu na poleni kwa majukumu mazito ya ujenzi wa taifa. Katika somasoma yangu nimekutana na hii kesi ambayo was referred to as the longest civil case in Tanzania.
Naomba yeyote...
Wafugaji na wakulima ni makundi ndani ya jamii ambayo yanategemeana katika shughuli za kiuchumi kuendesha maisha yao.
Wafugaji wanatumia ardhi wa shughuli za ufugaji pamoja na kilimo, huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.