Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shikamoo serikali, shikamoo magufuli, shikamoo ccm. Sasa naangalia vipindi moto moto kupitia king'amuzi cha startime kwa raha zote. VISIMBUSI vingine kama azam jifunzeni kwa wenzenu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu nimeona club moja ya Afande selle imejengwa kandokando ya mto hapa Moro ndio nikagundua kua ndio maana karudi chama la wana ili asisumbuliwe!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
@kwanza:unalimwa.unapandwa.unapaliliwa. UKISHAWIVA @Unaitwa punga. unavunwa au unakatwa.unapetwa.unatwangwa. Unaitwa chele. Unabambikwa.unaoshwa.unapikwa. Ukiiva unaitwa bwabwa. Linaliwa
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Binafsi nimetokea kuwakubali sana hawa Wasomi wa kiwango cha juu na hujikuta nikivutiwa sana kuwasikiliza kila wawapo either redioni or runingani na nikiri kusema kuwa hawa wasomi Dr. Ayub Rioba...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Msaada naomba mnisaidie ni hatua gani ninaweza kuchukua kwa uongozi wa Nmb Chato kwa kuchukua taarifa zangu za bank na kumpa muajiri wangu bila ruhusa ambaye ni mtu binafsi na bila kutoka kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanawake kuweni makini sana mnapofanya maamuzi ya kuwa acha wapenzi kwa sababu wamefulia more especially mnapo kuwa mmezaa nao..Story ya mzee huyu is a vivid example. Mzee mmoja mwenye pesa na...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Wasalaaam Kama kichwa kinavyoeleza Ninii sababu ya maeneo mengi ya makaburi kuwa na historia ya kutokea vitimbi vya hapa na pale Natamani niwatagg majuvi lkini kwa bahati mbaya sijui kitagg...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika safari zangu nikitumia usafiri wa umma nimechukua wasaa kuongea mawili matatu na madereva na pia wahudumu katika magari haya. Kilicho wazi ni kuwa watumishi hawa wenye kubeba roho zetu...
0 Reactions
5 Replies
976 Views
Mwenye mawasiliano ya Mganga maarufu wa kienyeji wa kukamata wezi au kurudisha mali iliyopotea naomba anisaidie
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Sasa naangalia vipindi moto moto kupitia king'amuzi cha startime kwa raha zote. Shikamoo serikali, shikamoo magufuli, shikamoo ccm.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbeya kumetokea ajali ya malori matatu ya mafuta 1 la mzigo wa kawaida na hiace1 ya abiria. Kweli tuna safari ndefu sana ya kukabiliana na hizi ajali. R.I.P kwa wote waliotangulia na poleni sana...
1 Reactions
63 Replies
13K Views
Habar za jioni? Wakazi wa mbezi ya kimara hasa mtaa wa KWA MSUGURI, hatuna umeme leo ni siku ya pili tunapiga simu zinapokelewa tunaletewe porojo! Tunaambiwa kuna kikosi kazi kinazunguka huko...
0 Reactions
4 Replies
787 Views
Hbr leo asbh kila nikijaribu kutaka kupost nakutana na ujumbe, u dont have enough permission kupost au kukomment, sasa sikujua ndo ban au kosa lipi, naona jioni muda huu ndo imekubali.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habar za jioni? Wakazi wa mbezi ya kimara hasa mtaa wa KWA MSUGURI, hatuna umeme leo ni siku ya pili tunapiga simu zinapokelewa tunaletewe porojo! Tunaambiwa kuna kikosi kazi kinazunguka huko...
0 Reactions
0 Replies
605 Views

450 Views
Usiku wa kuamkia leo umeme wenu Tanesco umekuwa ukikatika katika na kupelekea vifaa vyetu vingi vya umeme kuungua. Nashangaa Tanesco hata hamjaomba radhi na hapa nna machungu TV yangu nimenunua...
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Swali langu ni, naomba msaada Kwa wanaofahamu hospitali zinazopokea bima ya NHIF mkoa wa Arusha.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Usiku wa kuamkia leo umeme wenu Tanesco umekuwa ukikatika katika na kupelekea vifaa vyetu vingi vya umeme kuungua. Nashangaa Tanesco hata hamjaomba radhi na hapa nna machungu TV yangu nimenunua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Usiku wa kuamkia leo umeme wenu Tanesco umekuwa ukikatika katika na kupelekea vifaa vyetu vingi vya umeme kuungua. Nashangaa Tanesco hata hamjaomba radhi na hapa nna machungu TV yangu nimenunua...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Serikali ya Tanzania imesaini Mkataba wa Makubaliano na Benki ya Dunia kwa kupokea mkopo wa shilingi trilioni 1.8 wenye masharti nafuu ambapo deni hilo linaweza kulipwa ndani ya miaka 40, mkopo...
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Back
Top Bottom