Wanasema usichokipenda wewe basi usidhani kila mtu hakipendi.
Imetokea kasumba ya kusema mtandao wa Instagram ni wa "kimama" na hivyo walioko huko wana "element za kimama" haya ni mawazo ya watu...
Habari wana JF,
Naomba nisiwachoshe wala nisijichoshe.
Binafsi nimefurahishwa sana na usimamizi uliofanywa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) kwa kusimamia mpaka channel local ambazo...
Licha ya Tanzania kujaliwa rasilimali bahari maziwa mabwawa na mito kwa wingi lakini wananchi wake hula wastani wa kilo 8 tu za samaki kwa mwaka ikilinganishwa na malengo ya shirika la chakula...
Kama ulikuwa unajiuliza ni kwa nini sisi Watanzania tunabaguliwa au tunakubali kubaguliwa kwenye ardhi yetu wenyewe? Jibu liko kwenye malezi, Watanzania tunalelewa kutokujithamini na hivyo kwenye...
Wakuu kwema? , kuna kitu changu kwa siku ya jana nilikisahau kuja nacho siku ya leo.
Na baada ya kukumbuka leo kwamba ni cha muhimu nikawa nafikiria ni jinsi gani nitaweza kukipata ukizingatia...
Leo nimevuka nimekuja Sinza mitaa yangu ya ujanani; muda huu ni saa sita dk 5 yaani tunapiga tu fresh za baridii; ingekuwa Kigamboni aisee mambo ya kukimbizana ka watoto bana.
Unamimina huku...
Wakuu kwema? Poleni na majukumu,
Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k
Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani...
Weekend hiyo.
Watumishi wengi sana wa Umma wanateswa na magonjwa makuu mawili ; pressure na kisukari kiasi cha kuhatarisha familia zao na kuwasababishia vifo vya ghafla. Na wengi wanakuwa ni...
Kwa bahati Jana wakati natoka kupoza maumivu ya kiuchumi, na kuunga mkono punguzo la bei za kinywaji niliangusha Simu yangu Samsung Note 3 na kuvunja kioo. Naomba mwenye nacho aniuzie tafadhali.
Habari za muda huu wana jamvi.
Nina rafiki yangu anataka kwenda Australia kwa kaka yake (a short visit) but tumejaribu kuulizia ubalozi kwa ajili ya VISA bahati mbaya tumeambiwa hakuna office za...
Kwanza kabisa nitowe pongezi kwenu mafundi Gereji, Wa mabasi, Malori, na pickup, trecta, na magari mengine. Nimeyataja haya nikitambua mchango na umuhimu katika usafirishaji na uzalishaji, Kwa...
Baada ya kuona watu wanafanya usafi.Leo wanapita kila duka kukagua kama una dustbin.kama huna fine elfu hamsini.
Huo utaratibu wa dustbin ulianzishwa lini?
Habari zenu ndugu zangu, naomba kuuliza wazoefu wa safari za ndege kutokea dsm kuelekea Nairobi, ni ndege ipi nzuri na yenye uhakika wa safari? Sanjari na bei rafiki? Naomba msaada sana katika...
Lini utawala wa Majimbo utaanza utaanza TZ kama U.S.A kwani tayari TARIME ni Jimbo wana polisi wao wanao jiita Kanda Maalum wanakubambikia kesi kubwa muda wowote wakisikia umepata Fedha kwa...
Moja kwa moja kwenye mada,mke wangu wa pili bi mdogo ni mfanyabiashara ya nguo,ana duka lake anatafuta maisha.
Alivyojifungua niliamua kutafuta binti wa kazi amsaidie kazi na kulea pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.