Ni ujinga kusema mtandao wa Instagram ni wa "Kike" na wanaume hatupaswi kuwa huko

Makosa

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
1,183
2,612
Wanasema usichokipenda wewe basi usidhani kila mtu hakipendi.

Imetokea kasumba ya kusema mtandao wa Instagram ni wa "kimama" na hivyo walioko huko wana "element za kimama" haya ni mawazo ya watu masikini wanaodhani wao kutokuwa huko basi ndio wataonekana ndio watu bora kabisa "Great thinker"

Huu mtandao utauona ni mbaya au mzuri kutokana na yale uliyayafollow na unayoyasearch kila siku.

Watu wengi Sana wanafanya biashara kwa kutumia huu mtandao kuliko mitandao mingine na ni rahisi pia kwa kuwasilisha mawazo yako kuliko mitandao mingine hivyo unaposema ni wa "kidaku" basi uko wrong , utasema ni wa kidaku kama umefollow "udaku"

Kule kinachotakiwa ni nidhamu ya mtu mwenyewe ya kuweza kuutumia vizuri na kufaidika nao.

Sio ukiona mtu mmoja amefollow page za udaku basi ndio unajumuisha Watanzania wote walioko Instagram wanafollow page za udaku.

JamiiForums wapo kule
@maxence yupo kule
Ikulu wapo kule
Tundu Lisu tunampata kule
J . Kikwete tunampata kule n.k

Sasa wewe ni nani mpaka useme Instagram ni mbaya?
 
Yl

Tatizo siyo instagram ila tatizo wewe kama mmoja wa member wa insta unashabikia post za Aina gani?
 
Mwanzoni wakt insta unaanza ukikuwa huwezi post chochote bila kuweka na sapoti ya picha. Since then sijawahi waza Kama kidume kinastahili kuwamo mule. Labda cerebrities
 
Mi naona ni mtandao wa akina mama zaidi( based on matumizi ya huku kwetu ) . Lakin kwa wenzetu nafikiri ni kwa kila mtu
 
Yaani nishindane na wadada kubinua midomo na makalio. No way arifu

Ni mtazamo wako hujaambiwa uweke picha ubinue makalio.

Kule ni sehemu ya wengi kufanya business , nadhani huna biashara unayomiliki mkuu.
 
Mkuu umekosa followers huko unataka ujazie kutoka huku? Insta Ni ya cerebrities kwa ajili ya populaty nyie wengine mnalazimusha tuu
 
Ningekuwa natafuta followers ningeweka jina langu basi au link ila nimekuja kuweka sawa.
 
Dogo ya insta yaache kule ya jf yaache jf. Huwezi kumuweka mtu sawa kwahoja nyepesi km hiyo? Ushawahi serikali inatumia insta Kutoa official statement?
 
Haya brother makosa nimesamehe.
 
Ila mtu kujadili sijui nimemtoa house girl "bikra" ni Sawa!!
Kwa kifupi huu mjadala haukupaswa kuwepo humu inapofikia kwa wastan wa age za watu humu above 18 and not more than 50 by average na bado hawajui umuhimu na positive use ya mitandao ya kijamii bas amini kuna tatizo kubwa la kiufahamu kwa kweli watu watakuwa wameabiri in social network bila kujua nini wanafanya
 
Mi naona ni mtandao wa akina mama zaidi( siyo based on matumizi ya huku kwetu ) . Lakin kwa wenzetu nafikiri ni kwa kila mtu
wenzetu wale wote ni wanawake kwa nama moja ama nyingine.
 
Tatizo wewe unafollow nn ndio utakacholetewa, kwa sisi watu wa sports ukitaka kupata updates za michezo insta in rahisi.
Hz habari wanazotuchambilia hawa tunaowaita wachambuzi nyingi zinatolewa kwenye Instagram pages za michezo za ulaya.
 
Back
Top Bottom