Nafananishwa na Albert Einstein wa Ujerumani

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Wakuu kwema? Poleni na majukumu,

Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k

Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
 
Wee ulijuaje yuko ujerumani kama humjui na ungewauliza hao hao wanaekufananisha nae huyo bwana yukoje isije kuwa aliwahi kuwa shakula ya watu.
Wakuu kwema? Poleni na majukumu,

Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k

Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
 
Wakuu kwema? Poleni na majukumu,

Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k

Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Einstein anajulikana zaidi kwa kuwa chakula ya watu,inasemekana ndo binadamu pekee wa kiume alyevunja kwa kuwa chakula ya watu wengi zaidi!Huyu ndiye ninayemfahamu Mimi wa huko.
 
Wamegundua wewe ni muovu sana maana Albert Einstein aligundua nukes ambazo zikitumika kwenye vita zitaangamiza dunia
 
Wakuu kwema? Poleni na majukumu,

Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k

Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Kwanza tueleze Interejensi ni neno gani ? La Kingereza ua Kiswahili?
Tuambiwavyo alikuwa Shoga, sasa fikiria mwenyewe na hao wanaokuita.
 
Wakuu kwema? Poleni na majukumu,

Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k

Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Do you hear yourself man
 
Wewe kenge wa maziwa kuna lugha huku duniani inasema "interejensi"?

Lugha gani hiyo?

Halafu ndio Albert Einstein huyo?

Rubbish
Kenge wewe unajua ni yupi anaezungumziwa? Au unajipendekeze ili nikubebeshe mimba?

Chunga sana kijana utajikuta muhimbili ukifanyiwa operation ya kutoa mtoto tumboni.
 
Back
Top Bottom