Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,349
Wakuu kwema? , kuna kitu changu kwa siku ya jana nilikisahau kuja nacho siku ya leo.
Na baada ya kukumbuka leo kwamba ni cha muhimu nikawa nafikiria ni jinsi gani nitaweza kukipata ukizingatia siku yenyewe imeshapita.
Nikawa nawaza kwamba ngoja nisubiri dunia izunguke na ikifika eneo lile la jana labda nawaza kukipata.
Lakini nikawa nawaza kwamba kipindi siku inaenda yawezekana eneo nililoacha hicho kitu kinaweza kuangukia marekani au nchi nyingine.
Sasa watalaam na wajuzi wa mambo mtanisaidiaje kwa mawazo tu jinsi gani ntafanikisha kupata kitu hicho nilicho kisahau siku ya jana au ndio nikae mahali fulani nikivizie ili labda dunia ikirudi ntakikuta eneo lile lile??
Katibuni wadau