NIUZIE KIOO CHA SAMSUNG NOTE 3

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,476
37,750
Kwa bahati Jana wakati natoka kupoza maumivu ya kiuchumi, na kuunga mkono punguzo la bei za kinywaji niliangusha Simu yangu Samsung Note 3 na kuvunja kioo. Naomba mwenye nacho aniuzie tafadhali.
 
Uko wapi mi nina note 3 mpya imekufa display nimeuliza bei nikaambiwa laki2 nimenunua sumsung galax s6 edge amnayo nayo ni makwazo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom