minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,564
- 22,572
Lini utawala wa Majimbo utaanza utaanza TZ kama U.S.A kwani tayari TARIME ni Jimbo wana polisi wao wanao jiita Kanda Maalum wanakubambikia kesi kubwa muda wowote wakisikia umepata Fedha kwa kuuza Mahindi ama Ngombe au bidhaa wakuja usiku mkubwa wansema wewe ni JANGILI au JAMBAZI wankuwekea bangi ili wapate fursa za kukupora mali zako na kufungwa jela hili JIMBO JIPYA LA TARIME sheria za Mahakamani zinazo tumika hazitumiki sehemu yoyote katika ardhi yaTanzania. Hakimu anaweza kukufunga miaka mingi kwa ushahidi wa kuhisi hata mahama za mwanzo zaTARIME zinaweza kumfunga mtu miaka 30 kinyumee na utaratibu wa kisheria uanompa mahakama ya mwanzo uwezo wa kufunga mtuhumiwa mwisho ni mwaka mmoja katitka mahakama zingine Tanzania hata mahama ya wilaya imejaa vioja. Mahakimu wamapinda sheria waendesha mashitaka wanfanya watakavyo kulingana na matakwa yao.
Hili jimbo la TARIME Ni jimbo lenye historia kubwa kwani inasemekana ni kituo cha kwanza cha ukoloni na kilichotumika kuunganisha Africa mashariki na hakuna utalii wowote unaoelekea huko kwa kisingizio kuwa wakaazi wa huko ni wakorofi tofauti na hali harisi na sisi tunaoishi Tarime imefika mahali polisi, hakimu, Ofisa yeyoe wa serikali mwenye jukumu la kulinda haki na usawa akihamishiwa tarime anafanya sherehe kwani muda wake wa kuvuna peas na utajiri kutoka kwa wananchi kwa kesi mbalimbali za uonevu na kubambikiwa kesi lin jimbi la tarime litatanganziwa uhuru wake make na sisi tungependa kuwaalika magavana wengine wan chi zingine kama USA kama Carlifonia,luosiana Texas waje tubadilishane mawzo kuhusu sharia.