Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Heshma kwenu wakuu..... Jamani msilie lie eti hali ngumu si mmeyataka wenyewe..... Mmewafanya wanasiasa kuamua kila kitu hata katika masuala ya kitaalam..... ...sheria? ....elimu? ....afya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salute Mdogo wetu Serina Michael aliyefufuka kafariki juzi usiku Mara ya pili. Tumemzika jana saa nne kwenye makaburi ya Buronge. Muda huu ndio natoka kwenye utanduzi wa msiba. Alikuwa ashaanza...
12 Reactions
49 Replies
6K Views
Kuna aina flani ya vyakula wengine tunakula tu ili tusife ila ingekuwa amri au uwezo unaruhusu hakika tusingevigusa kabisa, Kwangu. 1:Ugali kabichi. 1:Ugali tembele. Vingine vyote kwangu mwake...
3 Reactions
68 Replies
5K Views
Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam. Mazishi...
4 Reactions
55 Replies
9K Views
Jeshi la polisi mkoani Manyara linamshilikia mwalimu wa Shule ya Msingi Rift Valley ya Mjini Babati kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la tano wa shule hiyo mwenye umri wa miaka 11...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Haya mambo utayakuta Serengeti peke yake Duniani. Angalia Cheetah wakihang out na watu bila kuwadhuru.Watalii wakifurahia maisha ya mbuga yetu ya Serengeti. Hii ilikua January 2018 Hii ilikua...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Tuzo za Nobel Peace Mwaka huu zimeenda kwa bw. Denis Mukwege na bi. Nadia Murad. Wamepewa tuzo hizo kwa jitihada zao za kutetea na kupiga unyanyasaji wa kimapenzi kama njia ya silaha na ukatili wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Na Mwandishi wetu Dar es Salaam 5 Oktoba, 2018 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewakamata watu wawili mwanamke na mwanaume kwa kosa la kugushi Risiti za Kielektroniki za EFD katika maeneo ya...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Pengine huelewi namaanisha nini kuna watu wanaitwa WACHINA hapa naongelea serikali ya China China serikali ni tajiri ila wananchi wake masikini lakini chaajabu wanatoa mihela mingi kwakile...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Mara nyingi wananchi wamezoea kuwaona viongozi wao wakiwa ofisini wakipokea kero zao na kuzitafutia ufumbuzi. Wengi wao walionekama waungu watu, huko maofisini huku wakiwakemea wananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani Mimi baada ya kunywa pombe kwa miaka kumi Leo nikiwa na akili timamu bila kushurutishwa na MTU yoyote nimeamua kuacha pombe maana nimewekeza sana bar hakuna nilichopata nawashauli na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Nduguzangu naomba mnielekeze wapinaweza kupata cooling milk tank nafanya biashara ya kuuza maziwa hivyo napata tabu yakuhifadhi kwenye mafriza!
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Nikiwa secondary mkoani kuna msichana mmoja mzuri sana mzuri hasaa, huyu demu alikua pia anajielewa kama ni mzuri sana so alikua ananata sana mana aliwafuni mademu wote kwa uzuri. Mwaname mimi...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
SportPesa imeendelea kukabidhi Bajaji kwa washindi ambao wametupia ubashiri na kuingia kwenye Droo ya Shinda Zaidi na SportPesa na wakati huu timu hii ya ushindi iliweka kambi Mwera wilaya ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Niko kwenye mahusiano na binti mzuri sana wa sura,umbo na tabia...tatizo kubwa linalonikwaza nikuhusu "K" yake,inaharufu kali sana,sasa kama mnavyojua wakuu kwenye mahusiano "K" ndio mpango...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mnamo mwaka 1912 iliyokuwa meli pekee ya abiria kubwa kwa kipindi hiko ilipata ajali na kusababisha vifo vya takribani watu 1500 na majeruhi 710 hivyo kuwa ajali kubwa zaidi ya meli kuwahi kutokea...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa wale wa dishi kilikua kinaanzia elfu 10 sasa ni elfu 11 kila siku hawa jamaa wanapandisha halafu channel zenyewe 15 tu Antenna kutoka elfu 7 hadi 8000 mwafaaa Hawa jamaa wanapandisha daily...
0 Reactions
18 Replies
18K Views
Habari wana Jf Ninamtaji wasmillion 25 ila bado sijajua wapi niekeze kwenye hizi sector 2 Naomba ushauri wenu wadau
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Za Leo Ndugu zanguni,kwa wale wenye matatizo mola awajalie wepesi kuvuka. Nimekaa nikakumbuka Mahusiano yangu ya Nyuma na x wangu nikabaki kutingisha kichwa .kifupi nilikuwa mkweli sana ktk...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tanzania leo imeadhimisha Siku ya Walimu Duniani ambapo moja ya changamoto wanayokumbana nayo walimu nchini ni mazingira magumu ya kufundisha na kufundishia ikiwemo uhaba wa madarasa kama ambavyo...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom