MSAADA KUPATA VISA YA AUSTRALIA

mutu murefu

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
918
2,266
Habari za muda huu wana jamvi.

Nina rafiki yangu anataka kwenda Australia kwa kaka yake (a short visit) but tumejaribu kuulizia ubalozi kwa ajili ya VISA bahati mbaya tumeambiwa hakuna office za ubalozi hapa tz.

Naombeni msaada wana jamvi jinsi gani anaeza kupata VISA hio maana tumehangaika mitandaoni bila ahueni.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Kwa hiyo huyo Kaka ake kashindwa kumpa Information za kutosha......!?
Inaonekana hakuna Details toka kwa Huyo anayesemwa kuwa ni Kaka ake.....

Otherwise angemwambia, andaa hiki na hiki, kile na kile, nakutumia Invitation letter, utatoa Copy ya Bank statement hivi hivi na vile.......
Nakutumia pesa Utaenda Nairobi, Ubalozi upo mtaa flank, ukifika ubalozini kuna maswali moja mbili n.k.......

Kama kweli huyo Kaka mtu yupo Australia na ni Mtanzania... Kwani yeye hajui kuwa Bongo hakuna Ubalozi....!?( sina uhakika) na kum direct vizuri Hugo ndugu yake...?
 
Asante kwa ushauri mkuu...ngoja nimwambie tu awasiliane na uyo kaka yake ampe info zote...maana inaonesha uyu bidada hajui anything kabisa
Kwa hiyo huyo Kaka ake kashindwa kumpa Information za kutosha......!?
Inaonekana hakuna Details toka kwa Huyo anayesemwa kuwa ni Kaka ake.....

Otherwise angemwambia, andaa hiki na hiki, kile na kile, nakutumia Invitation letter, utatoa Copy ya Bank statement hivi hivi na vile.......
Nakutumia pesa Utaenda Nairobi, Ubalozi upo mtaa flank, ukifika ubalozini kuna maswali moja mbili n.k.......

Kama kweli huyo Kaka mtu yupo Australia na ni Mtanzania... Kwani yeye hajui kuwa Bongo hakuna Ubalozi....!?( sina uhakika) na kum direct vizuri Hugo ndugu yake...?
 
Nauli yake itakuwa ndefu sana. Australia ni mbali sana nafkiri ni zaidi ya masaa kumi na tano angani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom