Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwanzoni, sikuamini kwamba walikuwa wamekufa. Kwa hakika nikiwaza sana namna gani wote waliweza kufa kwa pamoja...[emoji29] [emoji29] Wakati pale nilitambua kwamba ilikuwa kweli wamekufa, bado...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
In Summary The two later took their chitchat to a serious level, playing key roles in securing a $600 million foreign loan for the government and opening a can of worms over mega corruption in...
3 Reactions
24 Replies
8K Views
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewafukuza nchini watu wawili raia wa China na kuwataka waondoke mara moja kwa kosa la kuwapiga na kuwanyanyasa watanzania...
4 Reactions
72 Replies
7K Views
Ndugu,napata shida jinsi ya kuandika maombi ya ufadhili ya kupata msaada katika shule yangu.naomba kufahamishwa hatua. Au link
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Nimekua mlevi toka nikiwa primal mpaka sasa nimepewa ushauri nimejitahidi kuacha pombe nashindwa kulala nitaota ndoto za ajabu ajabu mpaka kichwa kinama?kuna siku nilifanyiwa maombi niache pombe...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nataka kuanzisha (WOCOBA) Workers Community Bank. Ni hatua zipi inatakiwa nifuate ili nisajiliwe na nifanye kazi kisheria?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wenzetu mliobahatika kusoma shule za kiseminari, naomba maana ya I'm removing you. Limekuwa likinichanganya kila kukicha.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi, Naomba kusaidiwa course ipi ni nzuri kwa kusoma kati ya hizi (1)BACHELOR'S DEGREE IN ACCOUNTING AND TRANSPORT FINANCE -NIT DSM (2)Bachelor of Arts in Public Relations and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siasa nchini imejaa ulaghai na ubabaishaji mwingi. Watu wengi wanaingia siasa kwa bahati mbaya tu kwani hawana mvuto wala karama zozote za uongozi. Wengine wamefuata huko maslahi na si kuwaongoza...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamii, naomba kuelezwa ni wapi naeza tuma ems nje ya nchi na gharama yke. nchi inapotoka: TANZANIA nchi inapokwenda: SOUTH KOREA pia makadilio ya muda mpka kufika huko. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Habari wataalam! Gharama za matibabu ni changamoto kubwa sana hapa nchini. Mbali na changamoto yenyewe, vitengo vya I.C.U huwa wana utaratibu ambapo Daktari humuagiza muuguzaji akanunue orodha...
14 Reactions
154 Replies
20K Views
Najiuliza swali hivi mataifa yataficha aibu hii kivipi kwa vizazi vijavyo.aibu ya kuvitana Vita kuu mbili za dunia.kwa kweli ni history mbaya na chafu sana.hebu fikiria ungekuwa wewe unaishi miaka...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Bonjour wanaJF! Matukio mbalimbali katika maisha huwa yanafikirisha sana. Na humfanya mwanadamu atafakari ni nini hasa kipo nyuma yake. Kwanini yanatokea. Tunaweza tukaishia kusema ni mipango ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
My favourities ni hizi BBC, ALJAZEERA NGWE ZEE CINEMA CGTN DOCUMENTARY ST PLUS ST BOLLYWOOD AFRICA ST SWAHILI DIRA TV ITV na EATV Nje na hapa hamna channels nyingine nazofatilia...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Mnaofanya kazi ofisi za serikali mtakubaliana nami. Watumishi wengi wa serikali wanalima, wanafuga, wana maduka, wana vigenge , wana makampuni , NGO na tender kadha kadhaa huku mtaani kwetu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanadamu wanapenda sana kucheza na vipindi. Watu hushiriki ibada za kumtumikia Mungu kwasababu tayari wako katika matatizo , wameepushwa kwenye matatizo au walishapitia kwenye matatizo. Wachache...
0 Reactions
1 Replies
612 Views
Nipo mkoani morogoro. Natumia mtandao wa Airtel kila miili ya simu zinakuja na scratching au hatusikilizani. Nini tatizo?
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Kwa kweli nimependa ku share kiss hiki na sikujua jukwaa la kukiweka. Inamhusu kijana aitwae Joseph Gomes, ni kijana meenye asili ya Goa lakini wazazi wake walihamia Uingereza miaka mingi na yeye...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi!! Leo wakati narudi kutoka kwenye kutafuta riziki ya kila siku nimekutana na tukio la kushtua kidogo ambalo limenifanya nijae huzuni mpaka wakati huu. Tukio hilo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Ugumba wawatesa Watanzania wengi Tuesday, 18 September 2012 12:54 Mwananchi WASAKA WATOTO KENYA KWA SH5.4 MIL, HADI SASA WANAWAKE 60 WAMEHUDUMIWA DAKTARI WA...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Back
Top Bottom