TFDA, TBS zatoa ufafanuzi vidonge kwenye chupa ya chai
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirika la Viwango nchini (TBS), zimetoa ufafanuzi kuhusu vidonge vinavyodaiwa kuwapo kwenye chupa ya chai ambavyo vinadaiwa kuwa na madhara kwamba si sumu na havina madhara kama inavyodaiwa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na taasisi hizo, vidonge hivyo si sumu bali ni vitu vilivyotengenezwa kwa kutumia karatasi ambavyo ni teknolojia ya kisasa inayotumika kutenganisha kuta mbili za chupa ili kutunza joto la kimiminika kilichowekwa kwenye chupa husika.
“Hivi karibuni kumekuwepo na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vidonge vilivyomo kwenye baadhi ya chupa za chai kuwa vidonge vyenye dawa yenye madhara kwa watumiaji na video nyingine ya lugha ya kiarabu ikieleza vidonge hivyo vina madini ya asbestos.
“Tunawahakikishia wananchi kuwa bidhaa hizo ni salama kwa matumizi ya kutunza joto la kimiminika kama vile chai,” imesema taarifa hiyo.
Pamoja na mambo mengine, taasisi hizo zimeonya wananchi kuepuka kusambaza taarifa kupitia mitandao ya kijamii zisizohakikiwa na taasisi hizo ili kuondoa taharuki zisizo za lazima.
Attachments:
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
MTAZAMO, Hammaz and Aleyn
M
Mshughulishaji
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#2
Mufe kwa wingi
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
MUUZA NGADA and Mbwa dume
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/431/431057.jpg?1517893304[/IMG]
Ubongokid
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#3
Hiyo video lengo lake muvunje chupa zenu kisha mkague kama vidonge hamna inabidi mkanunue tu chumpa mpya maana biashara ya chupa ya chai imedoda sana siku hizi.ova
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
Magazine Fire, Webb, richard kaswalala and 23 others
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/106/106478.jpg?1489380501[/IMG]
Sky Eclat
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#4
Watu wa physics karibuni
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
Ambiele Kiviele, King Kong III, MUUZA NGADA and 1 other person
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/188/188464.jpg?1537338284[/IMG]
Delvan
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#5
Tupate majibu sahihi
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
MUUZA NGADA
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/362/362019.jpg?1533314180[/IMG]
Behaviourist
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#6
Hakuna kitu kama hicho hizo ni propaganda tu!....Hebu wewe vunja hizo chupa uone kama utaona hivyo vidonge!!
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
MUUZA NGADA
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/178/178890.jpg?1537623163[/IMG]
Jalema
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#7
Ni jioni sasa hivi saa kumi na mbili imeshapita wazo lako tutalifanyia utafiti na kuchangia kesho asubuhi na mapema
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
Saint Ivuga, shinji jr, usatrumpjr and 4 others
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/224/224207.jpg?1398976843[/IMG]
TODAYS
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#8
MAJUZI TU CHUPA YANGU ILIVUNJIKA NA SIKUONA HIZO KITU (sijui) VIDONGE VYA "uzazi"
SIJANUNUA INGINE ILA KAMA PRODUCT ZA SASA WANAZALISHA NA KUWEKA HIZO (sauti ya mama anayepasua thermos) ACID VIDONGE BASI SHUGHULI IPO 😔..!
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
Mbwa dume
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/168/168549.jpg?1421763037[/IMG]
FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#9
Aisee...! Sinywi tena chai iliyowekwa kwenye hizo chupa, huku si kuuna taratibu huku?
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/199/199782.jpg?1455088671[/IMG]
Mbwa Dume
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#10
Yaani kuwekewa vidonge tu mnalalamika hivi..!
Je mngewekewa sindano kabisa ingekuwaje?
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
Nelson Mwombeki, joshua_ok and Lukungano1
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/266/266127.jpg?1447691511[/IMG]
Bukoba04
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#11
mabadiliko ya Technolojia ya mawasiliano yanakuja na mengi...
akili ya kuambiwa changanya na zako
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
Libertatem Pugnator and joshua_ok
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/343/343706.jpg?1528265076[/IMG]
Waziri Wa Kaskazini
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
#12
Shitt!
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
L
LOCAL SPONSOR
Senior Member
Sep 23, 2018
New
#13
Zile ni hardened cotton balls na sio vidonge, vimewekwa ili ku stabilise zile layers mbili za thermos flask ,fahamu tu cotton ni very bad conducter wa heat hivyo kuifanya ni chaguo zuri kwa kazi iliyokusudiwa
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
ChoiceVariable, Ziroseventytwo, SALOK and 14 others
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/187/187955.jpg?1451743815[/IMG]
Black Sniper
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
New
#14
Hii imetokea Garissa na Wajir huko Kenya
Watu wamevunja chupa zote na wateja wamegoma kunywa tena kama utauza chai kwenye flask
Hasara kwa mama ntilie na sasa wameilazimu serikali ichukue hatua haraka kujua undani wa hivyo vidonge.
Kama kawaida yetu wameisha sema inaleta cancer
Yaani majibu yanatoka kabla ya maabara
Only in Africa
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
boaz mwalwayo, Ziroseventytwo, ladyfurahia and 4 others
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/414/414702.jpg?1538459270[/IMG]
Lukungano1
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
New
#15
Mbwa dume said:
Yaani kuwekewa vidonge tu mnalalamika hivi..!
Je mngewekewa sindano kabisa ingekuwaje?
Daaaah! We jamaa
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/134/134954.jpg?1520506125[/IMG]
Edwayne
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
New
#16
Zinaitwa asbestos ni materials flan hatare yanaenda kujificha kwenye mapafu so yanaharibu mapafu sana UK wameshaban miaka mingi n they can't even destroy the house zenye asbestos maana ni kutibua vumbi na itaathiri watu wengi zaidi so hao waliopasua hizo chupa waneshaanza kujiexpose na hiyo material
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/187/187955.jpg?1451743815[/IMG]
Black Sniper
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
New
#17
edwayne said:
Zinaitwa asbestos ni materials flan hatare yanaenda kujificha kwenye mapafu so yanaharibu mapafu sana UK wameshaban miaka mingi n they can't even destroy the house zenye asbestos maana ni kutibua vumbi na itaathiri watu wengi zaidi so hao waliopasua hizo chupa waneshaanza kujiexpose na hiyo material
Asbestos ya vidonge?
Hebu nieleweshe hapo
Hiyo marufuku ya UK kwenye nyumba ina uhusiano gani na hivi vidonge?
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
gp1rooney
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/129/129039.jpg?1520485957[/IMG]
Dabluz
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
New
#18
Wanasema hazina tatizo wakuu, ni pamba inayonyonya unyevu unyevu kwenye chupa na kuweka hyo stabilization.
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
naiman64 and silver_back
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/116/116662.jpg?1423667358[/IMG]
ISLETS
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
New
#19
Ni pamba hizo, zinanyonya majimaji/unyevu unyevu, ni kimsingi ni hatari kwa afya ila kwa kuwa ziko nje ya flask haina shida, but ikitokea chupa imepasuka hivyo ni vya kutupa mbali watoto wasichezee
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Likes:
naiman64 and niachiemimi
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/424/424740.jpg?1492175597[/IMG]
Amanikullaya
JF-Expert Member
Sep 23, 2018
New
#20
TODAYS said:
MAJUZI TU CHUPA YANGU ILIVUNJIKA NA SIKUONA HIZO KITU (sijui) VIDONGE VYA "uzazi"
SIJANUNUA INGINE ILA KAMA PRODUCT ZA SASA WANAZALISHA NA KUWEKA HIZO (sauti ya mama anayepasua thermos) ACID VIDONGE BASI SHUGHULI IPO ..!
Nahisi ukitumia muda mrefu vinaisha kwa kuyeyuka
LikeQuoteReply
Select for moderation
Report
Next
Share:FacebookTwitterGoogle+RedditWhatsAppEmailLinkTelegramInstagram
Remove formatting
BoldItalicUnderline
Text colorFont size
Insert linkInsert imageSmiliesInsert
AlignmentList
UndoRedo
Toggle BB code
Write your reply...
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/18/18888.jpg?1451751984[/IMG]
POST REPLY PREVIEW
ATTACH FILES
Edit avatar
Donnie Charlie
JF-Expert Member
Messages
7,124Likes
1,446Trophy points
280
FORUM STATISTICS
THREADS1,209,273
MEMBERS459,906
POSTS28,332,691
FACEBOOKTWITTERTELEGRAMINSTAGRAM
Previous
WHO WE ARE
JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.
You are always welcome!
Read more...
WHERE ARE WE?
We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.
For anything related to this site please Contact us.
Contact us now...
DISCLAIMER
JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
Read more...
FORUM RULES
JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.
You MUST read them and comply accordingly.
Read more...
PRIVACY POLICY
We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.
Read our Privacy Policy.
Proceed here...
Next
Up to top