Leo nimevuka nimekuja Sinza mitaa yangu ya ujanani; muda huu ni saa sita dk 5 yaani tunapiga tu fresh za baridii; ingekuwa Kigamboni aisee mambo ya kukimbizana ka watoto bana.
Unamimina huku unacheki defender aaa so fresh hayo mambo ya kilongi longi leo ni weekend acheni watu wapumzike bwana.
Hongera Police Kinondoni - kuleni tano!!