Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habar wana jamvi, Alikamata headlines za vyombo vingi vya habari hususani mitandao ya kijamii, akaja na hoja ya kununua nyumba za Lugumi, ghafla kapoteana.
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Wadau leo sina kubwa zaidi ya ombi binafsi. Nina mipango ya kwendaThailand kutembea kidogo lakini pia nilitaka ninunue Pikipiki ndogo Used aina ya Click kama nimepatia Spelling. Ombi langu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni ujumbe gani umebebwa na katuni hizi?.
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Viongozi wa Jumuia ya wanawake Tanzania UWT Mkoa na Wilaya za Mbulu, Hanang, Babati Vijijini wamehitimisha wiki ya UWT Taifa iliyofanyika Mbulu. Wametoa elimu ya Afya ya uzazi, mimba za utotoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madreva wa daladala na magari binafsi ufanya makosa kwa kujua au kutokujua. lakini inapotokea dreva kafanya kosa inakuaje polisi (Trafic)anakuja moja kwa moja kuchomoa funguo na kuzima gari huku...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Sina shaka na uwezo wenu hasa Idara yenu ya CMI ambayo wamepita Watu wengi sana ambao baadhi yao nawajua kabisa kuwa ' wametukuka ' vilivyo kwa hiyo Fani ila kinachoniogopesha hasa ni kwa...
21 Reactions
55 Replies
8K Views
habari wadau.. najua wengi ni neno geni.. nilikuwa nafanya kazi ubalozi mmoja nyeti nilikuwa nashangaa sana wazungu wana career break... mtu anaacha kazi kabisa anapumzika hata 2 years bila...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
*JE WA TZ WA UGHAIBUNI TUTAFANIKIWA KUPATA PASI MPYA ZA KIELEKTRONIKI?* Sisi tunaomiliki pasi za TZ tunaoishi ughaibuni,wengi wetu bado hatujalielewa tatizo kuu linalo/litalotukabili. Kuna...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Siku hiyo naikumbuka nilikua na Safari ya dharura kwenda mbeya,hivyo nikaona ili niwahi kufika ni bora nipande hzo gari kuanzia hapa tabata mwananchi hadi mbeya,cwezi kusahau ile safari ilikua...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wadau kuna kipindi nilikua nafanya kazi kampuni fulani nikawa nalipwa laki 4 kwa mwezi sasa basi mkubwa wangu Akaja kuzingua anataka mshahara mkubwa wakati huo alikua analipwa 1m yeye anataka 2m...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Shughuli zilizopo ni fursa tosha, siwezi zitaja nikamaliza, machimbo ya madini, kilimo na biashara wala huhitaji mganga kutoka ki-maisha. You are most welcome!
3 Reactions
18 Replies
6K Views
Jiunge kwenye group la kupeana ujuzi na madili. Lengo la group hili ni kupeana madili ambayo wanagroup wana ujuzi nayo. Pia tutafundishana sisi kwa sisi ili kupanua wigo wa kupata madili zaidi...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu. Karibu mwaka unakatika tangu kupewa barua ya kupandishwa daraja sijabadilishiwa mshahara hadi leo na mbaya zaidi hakuna maelezo yeyote yanayotolewa. Kwakweli...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dhana ya KIPAJI na nini Biblia inatufundisha jinsi ya kukitumia Leo nimeamka nikiwaza hii kitu nimeona niigusie kidogo. Labda kuna mtu atafaidika na maandiko haya. Mungu alimpompa Nuhu kazi ya...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo kumuondoa mara moja katika nafasi yake Mkuu wa Chuo cha Ualimu Shinyanga (SHYCOM), Paschal...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Eti wakuu kuna mtanzania ashawahi Pata tuzo hio...maana nasiki mwalimu alikua nominated tu... Nauliza tu... Kuuliza so ujinga
1 Reactions
27 Replies
4K Views
HELLO As my user name described its same same with the real person It is my hope we will get in touch very easly nawasilisha..
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Muzungu anaweza kununua nyumba na kuimiliki bila ya mtu yoyote yule kujua, ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuaji tu lkn Serikali haijui chochote, jambo ambalo nchi zenye Wamiliki yaani...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Naulizia utaratibu wa kuomba hati ya kiwanja, ni hatua zipi na gharama kiasi gani unalipia. Sitegemei kutoa wala kupokea rushwa,ni mpango wa halali bin halali!
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Naomba kujua kama mtu amewekewa mtego wa rushwa ya ngono hivi huwa wanasubiri mpaka jamaa amalize au wanaingilia kati kabla jamaa hajamwagilia bustani, nauliza hivyo kwa maana ya kwamba naona kuna...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Back
Top Bottom