Natafuta chumba master maeneo ya Goba, Tegeta na kunduchi.

Natafuta chumba master maeneo ya Goba, Tegeta na kunduchi.

Man Mvua

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Posts
2,179
Reaction score
3,525
Maeneo; Goba, Tegeta au Kunduchi.

Bei : 50k- 100k

Muda: miezi mitatu mitatu
 
Mkuu kweli unamhurumia mwenye nyumba kweli? Fanyeni hata 150,000/=;nasema hivi kwa sababu hii hali imenikuta, kuna mpangaji amependa kupanga katika eneo langu hapo mbezi mwisho;na faida atakayoipata atakuwa mwenyewe kwenye eneo la mita za mraba 600 na nyumba ya vyumba viwili,sebule ,na choo ndani;matokeo yake amekuja na proposal ya sh. 80,000/= kwa mwezi,nimejaribu kubishana naye.....lakini kuna tatizo.Ninachoomba mkuu ili upate sehemu nzuri na ya kistaarabu ongeza dau natumaini utafanikiwa
 
Back
Top Bottom