...Sitafuti tena mfanyakazi wa ndani....

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Moja kwa moja kwenye mada,mke wangu wa pili bi mdogo ni mfanyabiashara ya nguo,ana duka lake anatafuta maisha.
Alivyojifungua niliamua kutafuta binti wa kazi amsaidie kazi na kulea pia.

Changamoto ikaibuka wife anatuma km mjerumani,kugoma bila sababu,nimejitahidi kumwelekeza bado hali ileile.
Ndugu wana jf mpaka sasa mtoto ana miaka 2 tumebadili mabinti wa kazi5 uwezi amini.

Sasa tumepata binti mwingine wa6 kutoka Kilimanjaro.. Ni mpole,mchapakazi,hizi sifa zote ananiambia yeye,coz ci mkaaji wa nyumbani nachukua hata mwezi siko nyumbani.

Leo nimerudi nimekuta hajaacha tabia yake ya kutuma na kugoma ..hii tabia inapelekea mabinti kuondoka.
Naona dalili tutarudi kulekule nimeapa moyoni SITAANGAIKA TENA.

Nyie wamama mnatupa wakati mgumu mda mwingine nakwepa kuingilia sana hisije ikaleta shida zaidi ila napata uchungu km mzazi.

Wamama badilikeni.

NB:Nimeshamwelekeza wife Mara nyingi aelewi..nasubiri aondoke ataisoma namba,akitaka afunge duka..
 
Anagomaje??anamgomea beki tatu au wewe???
 
Sijakimbila jon nina 25+ Mtu mzima Mimi Nina vijana4..ninawahudumia fresh
 
Nasubiri wife afunge duka na kwenda kwao afu wewe kuwa busy na hiyo kazi yako Mzee baba
Toka lini mwanamke anakula kwa jasho lake??? Mtoe dukani aende mfanyakaz dukan huo ndio mwarobaini wa tatzo lako........hutaupata kwingne huu mwarobaini isipokuwa kwangu ...mnaharibu ndoa Sana wafanyakazi mliowengi..!!!
Wengne wanajua kaz ya mwanamke ni kuzaa na kulea kinda wake
Nikuulize swali boss ..unafanya kazi ulaya? Kuonekana kwako had mwezi upite? Mwanao akiitwa jina la sundi utajua maana yake? Yangu ni hayo tu kwa Leo
 
Hiki kiswahili kilichotumika humu kama hujasoma vzr ngeli lazma uruke uzi uende kwenye comments
 
Nafanya biashara ya samaki na chumvi so nasafiri sana
 
Nasubiri wife afunge duka na kwenda kwao afu wewe kuwa busy na hiyo kazi yako Mzee baba
Toka lini mwanamke anakula kwa jasho lake??? Mtoe dukani aende mfanyakaz dukan huo ndio mwarobaini wa tatzo lako........hutaupata kwingne huu mwarobaini isipokuwa kwangu ...mnaharibu ndoa Sana wafanyakazi mliowengi..!!!
Wengne wanajua kaz ya mwanamke ni kuzaa na kulea kinda wake
Nikuulize swali boss ..unafanya kazi ulaya? Kuonekana kwako had mwezi upite? Mwanao akiitwa jina la sundi utajua maana yake? Yangu ni hayo tu kwa Leo
Some tym miezi2 sipo
 
Unamdekeza, sema naye akuelewe

Mawili kishajiona bi mdogo mahaba yamejaa kwake we kishajua wampenda ndio mana unamhangaikia hivo

Mwambie alee mtoto dukani weka mtu mzizi wa fitna ufe mke siku zote hufata amr ya mume anapokua ameolewa hata kama ana madegree na manyota begani
 
Hiki kiswahili kilichotumika humu kama hujasoma vzr ngeli lazma uruke uzi uende kwenye comments
Form2 inasumbua@ nashukuru wazungu wameleta maandishi ya kubofya...km ningetakuwa niandike kwa peni husingeelewa kabisa@ c unajua sie mabeach boy tumekimbia umande
 
Unamdekeza, sema naye akuelewe

Mawili kishajiona bi mdogo mahaba yamejaa kwake we kishajua wampenda ndio mana unamhangaikia hivo

Mwambie alee mtoto dukani weka mtu mzizi wa fitna ufe mke siku zote hufata amr ya mume anapokua ameolewa hata kama ana madegree na manyota begani
Soon nitaongeza wa3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom