Mgambo wa Makonda na udhalimu wanaoufanya mtaani leo

kwanini tu

Member
Nov 8, 2011
50
63
Baada ya kuona watu wanafanya usafi.Leo wanapita kila duka kukagua kama una dustbin.kama huna fine elfu hamsini.
Huo utaratibu wa dustbin ulianzishwa lini?
 
Waende soko la Ilala au Mbagala rangi tatu, mifereji ya maji machafu inatoa harufu kali (inanuka) juu ya hiyo mifereji wafanyabiashara wamejenga vizimba wanauza bidhaa za kutumiwa na binadamu usafi ni zero.
 
Baada ya kuona watu wanafanya usafi.Leo wanapita kila duka kukagua kama una dustbin.kama huna fine elfu hamsini.
Huo utaratibu wa dustbin ulianzishwa lini?
ila kwa sasa kidogo wamekuwa wapole juzi niliwakuta kwenye duka moja tandika mmoja anauliza IKO WAPI FAYA TINGISHA(fire extinguisher)hahahahaha!!!nikasema kazi ipo na huko tena kwenye faya tingisha wapo
 
Akili za hawa mgambo na aliye watuma ziote sawa tu.
Ukisikia uharo aliokuwa anaongea Bashite jana na wanayoyafanya hawa mgambo utabaki unasikitika tu.
 
Back
Top Bottom