Fafanua ujumbe wa katuni hizi.

Diesel generator

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
706
660
Eleza ujumbe unaopata.
Screenshot_20181005-195915.jpg
Screenshot_20181005-194528.jpg
Screenshot_20181005-195915.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20181005-195915.jpg
    Screenshot_20181005-195915.jpg
    33 KB · Views: 21
Huo ujumbe wa kichina umfikie ze kokuyo popote alipo,trump amuangalie sana huyu vijicho.
 
Hiyo picha ya kwanza ndo kinachotokea Tz nowdays. Kiongozi anavunja sheria na wahusika wanabaŕiki kiongozi wao
 
Huo ujumbe wa kichina umfikie ze kokuyo popote alipo,trump amuangalie sana huyu vijicho.
Nyie hamjiangalii mnataka wengine waangie kwa niaba yenu!!
Furahieni kujengewa viwanda!
 
Nyie hamjiangalii mnataka wengine waangie kwa niaba yenu!!
Furahieni kujengewa viwanda!
mimi naangalia maisha yangu na familia yangu hayo mengine hayanihusu,hapa mwenzako kama kwenye kijiwe cha draft sio sirias kivile.
 
mimi naangalia maisha yangu na familia yangu hayo mengine hayanihusu,hapa mwenzako kama kwenye kijiwe cha draft sio sirias kivile.
Iko siku utajua yanavyokuhusu!
Siku meli ya wachina itakapowaleta wachina kuijaza nchi yako.
 
Mungu tu ndiye wakutuokoa kutoka hapa tulipofikia.
Tusitegemee hawa wachumia matumbo.
 
Iko siku utajua yanavyokuhusu!
Siku meli ya wachina itakapowaleta wachina kuijaza nchi yako.
Mwisho was kila mwanaadamu ni kifo,hata hao wazungu si watu pia.Najivunia mizimu ya mababu nikisubiri Siku za kuishi zifike.MTU mweupe yeyote ni shetani kwa MTU mweusi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom