Habari wana JF,
Naomba nisiwachoshe wala nisijichoshe.
Binafsi nimefurahishwa sana na usimamizi uliofanywa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) kwa kusimamia mpaka channel local ambazo tunapaswa kuziona bure Sasa ni bureeee kabisa ndani ya Startimes.
Kwa namna ambavyo tulikuwa tunapata kero pale kifurushi kinapoisha ilikuwa ni lazima uangalie TBC1 sasa ni historia.
Nina hakika hata wateja wa zuku wameanza kupata haki yao ambayo kamwe tulithubutu kuuliza Bali sikudhani kama mamlaka husika na serikali ilipoanza na DSTV, Adam nk mambo yangekuwa mazuri kiasi hiki.
Mwisho kabisa natoa pongezi za dhati kwa mamlaka,serikali na waziri mwenye dhamana.
Mnyonge mnyongeni ila kwa ili THANKS ALOT MR. PRESIDENT