Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu, hivyo tunahitaji umoja zaidi kipindi hiki na serikali ijitathmini kwa kina tuone kama tutaweza kusonga mbele. tukilegea na kugawanyika basi huo ndio mwisho...
3 Reactions
88 Replies
7K Views
Wakuu habari za mida hii. Niende moja kwa moja kwenye hoja,kuna jamaa wangu wa karibu sana anataka kuagizia gari Japan kupitia kampuni tajwa hapo juu. Katika kuwasiliana nao wakamtumia invoice...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Angalia video hii. Mchokoza mada mzungu anadai Nigeria ni most corrupt nation. Mjibu hoja ambaye ni mweusi anamshushua na kumwambia hana "moral authority" ya kuwanyooshea wengine kidole
1 Reactions
2 Replies
797 Views
Nimesoma barua ya maazimio 15 ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Union) kwa serikali yetu ya Tanzania. Maazimio hayo yanabeba masharti magumu kwa sababu kwenye barua yao wanazungumzia ushoga...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Hii imetokana na habari zilizochapishwa kwenye mitandao na baadhi ya watu tofauti wanaodai kusafiri na ndege ya ATCL ruti ya Dar hadi Entebbe ambapo humo kulikua na abiria sita tu, yaani kwenye...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari wadau. Mimi ni muajiriwa wa taasisi mojawapo, na ni mjasiriamali.. katika upelelezi wangu wa ndugu, jamaa na marafiki wanaonizunguka nimegundua kuna idadi kubwa ya watu wanaenda kazini...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Siku tisa baada ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) kuzungumzia malipo ya pensheni na kupinga kanuni mpya za kukokotoa malipo hayo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Jenista Mhagama amesema...
2 Reactions
45 Replies
10K Views
Wakati ikielekea kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa katika maeneo ya Kanda ya Ziwa, Kaskazini, Kusini na karibu na Bahari...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
NImesoma kwenye gazeti la Mwananchi na kushitushwa sana na majibu ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, DR Leonard Akwilapo, kwa mwandishi wa habari wa Mwananchi pale alipoomba apewe ufafanuzi kuhusu...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Tafadhali kwa mliokwishabadilisha namba za zamani za usajili wa pikipiki kuwa hizi mpya mfano MC 001ABC mlolongo mzima hadi unapewa namba hizo mpya ni upi na inagharimu siku ngapi?
0 Reactions
30 Replies
26K Views
Hi friends! Siko serious hapa msije mkaniteka bure ingawa siogopi sana kutekwa. Suala la watumishi wa umma kusitishiwa baadhi ya stahiki zao ikiwemo kutoongezwa mshahara kwa miaka mitatu mfululizo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelitaka Jeshi la Polisi kutoa taarifa rasmi juu ya tukio la kukamatwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Salum Mwalimu na wanachama...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Masalkheri ndugu, Wengi wetu hatupendi kukosolewa. Hii hutokana na kuogopa kuonekana mbaya na pengine kuachwa. Tabia hii hutufanya tulazimishe maisha yetu yaenande na ya watu wengine. Lakini...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
SPANISH ON TANZANIA: Por qué los africanos deben condenar la resolución de la “homosexualidad” de la UE December 16, 2018 Ø Después del fracaso del SIDA, la homosexualidad es una nueva arma para...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
9 Reactions
152 Replies
27K Views
[emoji115]
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Lukaku,lingaard na rashford leo wataiongoza man united na kuwashikisha adabu liverpool.poleni sana liverpool
0 Reactions
5 Replies
908 Views
Naomba kujuzwa jiografia ya KIA. Iko mkoa gani? Mwanzoni nilifikiri iko mkoa wa Kilimanjaro lakini kuna rafiki ananiambia uko mkoa wa Arusha. Nimeangalia kwenye google map, kweli unaonekana uko...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani nyie Tigo sasa nimechoka kazi nyie kuandika 4g hivi si bora iwe 2g inayofanya kazi kuliko huu ujinga? Yaani kwa siku internet yenu inafanya kazi lisaa limoja tu! Ikifika usiku ndiyo sasa...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Tanesco hasa Bagamoyo mnakeraa sana nimetoa taarifa ya tatizo leo siku ya kumi tena kajamaa kanajibu tanesco emergence tukusaidie, nikajiachia kutoa taarifa nikajua ndani ya nusu saa watatia timu...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Back
Top Bottom