Watanzania Tuungane Pamoja , Tutawashinda E.U na U.S.A.

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,979
28,505
Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu, hivyo tunahitaji umoja zaidi kipindi hiki na serikali ijitathmini kwa kina tuone kama tutaweza kusonga mbele.
tukilegea na kugawanyika basi huo ndio mwisho wetu.
chonde chonde bila kujali chama tuungane haraka na tusichekana , Maana kuchekana ni kuicheka nchi yako.
Agenda zote za E.U na U.S.A zinajibika kwa mazungumzo.
 
Uungane na nani dhidi ya nani? Yaani anayenyanyaswa aungane na mnyanyasaji dhidi ya mtetezi? Wewe lazima utakuwa ni Mangungo wa Msovero wewe!!!
 
Stop this nonsense, hatuwezi wote kuwa wajnga. Kwani USA na EU wanasema uongo? Wacha taifa livunjike as long as watu wako huru na haki zao zinalindwa. Ya Lisu unayafurahia, ni sahihi LISU KUPIGWA RISASI?
 
Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu, hivyo tunahitaji umoja zaidi kipindi hiki na serikali ijitathmini kwa kina tuone kama tutaweza kusonga mbele.
tukilegea na kugawanyika basi huo ndio mwisho wetu.
chonde chonde bila kujali chama tuungane haraka na tusichekana , Maana kuchekana ni kuicheka nchi yako.
Agenda zote za E.U na U.S.A zinajibika kwa mazungumzo.
Muungane huko ccm kwenu wengine hatuhusiki na huo muungano
 
Tatizo sio US wala EU Maana kwa muda mrefu tu tumekua na mahusiano mema nao;

Tatizo ni watanzania wenzetu wanaosambaza sumu kwa maslahi Yao binafsi at the expense of our peace.
 
Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu, hivyo tunahitaji umoja zaidi kipindi hiki na serikali ijitathmini kwa kina tuone kama tutaweza kusonga mbele.
tukilegea na kugawanyika basi huo ndio mwisho wetu.
chonde chonde bila kujali chama tuungane haraka na tusichekana , Maana kuchekana ni kuicheka nchi yako.
Agenda zote za E.U na U.S.A zinajibika kwa mazungumzo.
Haya yote yanatoa awamu hii tu iv uwoni km kuna ttz hp..?
 
Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu, hivyo tunahitaji umoja zaidi kipindi hiki na serikali ijitathmini kwa kina tuone kama tutaweza kusonga mbele.
tukilegea na kugawanyika basi huo ndio mwisho wetu.
chonde chonde bila kujali chama tuungane haraka na tusichekana , Maana kuchekana ni kuicheka nchi yako.
Agenda zote za E.U na U.S.A zinajibika kwa mazungumzo.
Je tuhuma ni za kweli ??!!

Binaadamu ana tabia ya kujipendelea. Unawabana na kuwakandamiza wananchi wako kwa ulevi wa madaraka. Ukikosolewa unapiga mayowe
 
Kwani umoja wa ulaya wanayoyalalmikia yana ukweli??kama ni kweli kwanini tusijirekebishe??

Hivyo vikwazo vitatuathiri sana aisee
Umoja kwanza hayo mengine tutayajadili tukiwa pamoja.
 
Back
Top Bottom