Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Historia huwa haipotei na kamwe haidanganyi. Wananchi wa Libya waliambiwa na Mabeberu kwamba Ghadafi ni tatizo na iwapo akiondoka madarakani wananchi wa Libya wataishi maisha mazuri sana. Hebu...
13 Reactions
55 Replies
4K Views
Membe ameingia Dar es Salaam Halamisi wiki iliyopita, Ijuma amempa barua Bashiru kuwa ameitikia wito, yupo Dar ampe maelekezo ya kumuona lini. Bashiru ameulizia Makatibu wote Wilayani wampe...
13 Reactions
23 Replies
5K Views
Naibu katibu mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalimu amekamatwa na polisi huko Mafinga Mkoani Iringa akiwa anajiandaa kuhudhuria kikao cha ndani cha Chama hicho.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Awali ya yote nianze kumshukuru Mungu kwa kuniweka salama salimini Kwa umri huu lengo la uzi huu Ni kukumbushana wale tulionekana Wajanja kumbe ni washamba wa wa kutukuka Nianze kwa kusema tu...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Wapiga Vita rushwa kama hawa ndiyo wanaohitajika. Angetokea malaika wa Mungu akayafanza kama hivi si ingekuwa shrerehe?: Museveni orders Uganda traffic police off highways Eeh mola wetu pokea...
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Baba mlezi, Mmanga Mrope (47), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Tunduru kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka minane. Akisomewa mashtaka juzi mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameagiza polisi wanaowazuia wananchi kupiga picha katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kama kumbukumbu za maeneo hayo kuacha mara moja ili...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa ,Mkoa wa Pwani imemfikisha mahakamani Naziru Mwakangali aliyekuwa anafanya kazi kama kibarua katika mamlaka ya bandari Dar es salaam kwa makosa ya kuahidi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani malofa. Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha...
12 Reactions
34 Replies
7K Views
Kwa mara ya kwanza ajira zikisitishwa mwaka 2016 kupisha uhakiki wa watumishi hewa na wenye vyeti feki; Huku kukiwa na wahitimu wengi kila mwaka kutoka vyuo vya kati na vyuo vikuu, Serikali...
2 Reactions
8 Replies
10K Views
Kuna tabia fulani ya watu. Umeme ukikatika unatoka nje kucheck madhari. Hapo ndo unapotea. Umeme ukikatika kwenye nyumba yako, tulia mpk asubuhi. Wengi wamekufa
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Watanzania tusikubali propaganda za kijinga hizi.!!! Tamko la bunge La ulaya lina hoja nyingine zaidi ya 14 tofauti na ushoga, watu kupigwa risasi na kukosekana uchunguzi,watu kupotea na kukutwa...
9 Reactions
30 Replies
5K Views
Nimewahi sikia kuwa ni vivutio votatu tu vya utalii Tanzania ndiyo vinajiendesha kwa faida. Serengeti, Mlima kilimanjaro na Ngorongoro. Pengine kubinafsiha mbuga ni hatari lakini Tanzania ina...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari heri ya mwaka mpya wanajamii Kuna mambo ambayo yatatokea mwaka 2018, 1.Safari ya Kwanza ya nje ya bara la Africa ya mheshimiwa Magufuli, 2. Watu wa karibu wa Magufuli watamwangusha...
2 Reactions
76 Replies
15K Views
Nimekuwa nikijiuliza sababu hasa nini Juzi wakati wale wabunge wa Marekani wanampelekea barua waziri wao wa mambo ya nnje mpiganaji pompeo kuhusu hali mbaya...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Tanzania, Tanzania ,Tanzania. Kwanza Tuungane Pamoja . Naomba Viongozi msipate jazba wala hasira juu ya mabeberu. Hakikisheni mnajibu kwa hekima na busara kama walivyowahi kujibu Uhuru Kenyatta na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Tuache unafki ...US na EU wana agenda yao nyuma ya pazia.... Wao mwenyewe wanapingana kuhusu ushoga na demokrasia
0 Reactions
6 Replies
1K Views
``` Kuna baba mmoja alikuwa analia,mtu mmoja akamuuliza kinachomliza: akasema: nilikuwa na mwanangu wa kiume nilimsomesha, nilitaka awe maarufu msomi. Nikamsomesha katika ngazi zifuatazo za...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Naomba mtembelee kawe,dampo limeamia barabarani na niwiki inaenda ya pili , uchafu unanuka na inzi ,mafunza yanatapakaa .Serikali inatoa tamko gani ?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Una uwezo wa kula angalau kile unachokipenda, familia yako inapishana hapa na pale kwenda maliwatoni. Wewe pamoja na familia yako mkiugua hamkosi hata pesa ya panadol, jua umefanikiwa sana hasa...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom