Tanesco hasa Bagamoyo mnakeraa sana nimetoa taarifa ya tatizo leo siku ya kumi tena kajamaa kanajibu tanesco emergence tukusaidie, nikajiachia kutoa taarifa nikajua ndani ya nusu saa watatia timu, we! Leo siku ya kumi. Shikamoo tanesco Bagamoyo kwa dharau zenu. Halafu mnasematusitumie vishoka kwa mwendo huu akitokea kishoka namuingiza mzigoni nimechoka kukaa giza.