Tahadhari ya mvua, mafuriko yatolewa

Tahadhari ya mvua, mafuriko yatolewa

mamayoyo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,011
Reaction score
1,019
Wakati ikielekea kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa katika maeneo ya Kanda ya Ziwa, Kaskazini, Kusini na karibu na Bahari ya Hindi
 
Mamayoyo aiseeee kama ndo wewe kwa avatar daaaah
 
wakisema kuna mvua huwa mara nyingi kuna jua ni kinyume tu halafu huwa wanatabiri vyote kwa pamoja mfano akisema mwanza kutakua na mvua kidogo mawingu na kipindi cha jua sasa hapo sijui uelewe ni mvua kuna jua kuna mawingu
 
Tulitembeleaga pale SUA kitengo cha Hali ya Hewa, Sio siri hata vifaaa vya Uhakika vyenyewe mtihani. Watu wanapiga kazi tu ilimradi mkono uende kinywani, kazi haifanywi kwa moyo kabisa.
 
Back
Top Bottom