Kilimanjaro International Airport

jbmukulu

Senior Member
Jun 8, 2015
123
83
Naomba kujuzwa jiografia ya KIA.
Iko mkoa gani? Mwanzoni nilifikiri iko mkoa wa Kilimanjaro lakini kuna rafiki ananiambia uko mkoa wa Arusha. Nimeangalia kwenye google map, kweli unaonekana uko Arusha. Ila mara nyingi viongozi wakimataifa wakishuka pale kwanini huwa wanapokelewa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na sio wa Arusha?
 
Back
Top Bottom