Majibu ya kiburi ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu kwa mwandshii wa habari; Viongozi wengi hawajui umuhimu wa media kufikisha habari kwa wananchi

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,023
18,563
NImesoma kwenye gazeti la Mwananchi na kushitushwa sana na majibu ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, DR Leonard Akwilapo, kwa mwandishi wa habari wa Mwananchi pale alipoomba apewe ufafanuzi kuhusu matumizi ya wimbo na bendera ya Taifa. Angalia hapa chini taarifa kutoka Mwananchi;

1544693560925.png

Sasa hebu niambieni wana JF na jamii kwa ujumla, hivi haya ni majibu ya mtu anayetakiwa kuwa na busara kwa kiwango cha PhD na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu? Je tunahitaji kumwelimisha Dr. Akwilapo kazi ya vyombo vya habari hapa nchini ni nini, kwamba ni pamoja na kusaidia kufikisha ujumbe wa serikali kwa wananchi? Sasa kama mwandishi wa habari anaomba ufafanuzi ili asaidie kufikisha ujumbe kw wananchi, kwa nini Katibu Mkuu ajbu kwa kiburi namna hii?

Nadhani Dr. Akwilapo anahitaji kukumbushwa kwamba yupo katika nafasi kwa kusudi la kuhudumia wananchi, na wananchi hao ni pamoja na waandishi wa habari.
 
Ukisikia kuwa Tanzania tumekuwa hapa kutokana na wasomi wetu hata usishangae mkuu... EDO anakuambia kuwa siku hizi hatuwaogopi
 
  • Thanks
Reactions: 911
Ni Majibu Ya Kiburi Tu, Hawa Hatambui Cheo Ni Dhamana Leo Hapa Kesho Pale
 
Mi nahisi tatizo s akili ndogo nadhani mfumo wa Elimu yetu hauwasaidii hata hao wanaojiita madokta, pengine wanapimwa kwa akili za kwenye vyeti kuliko Busara, weledi, uelewa na kujua mambo kwa mapana zaidi
Mkuu, labda akili ni upungufu wa neno linalofaa la Kiswahili. Kuna watu wanaweza wakawa wamesoma sana, lakini bado akili ni ndogo tu. Kwa hiyo nikisema akili ndogo sina maana elimu ndogo.
 
Tumeishia Raisi Magufuli kutengeua hili suala zima kuonyesha kwamba mwandishi alikuwa na haki ya kuomba ufafanuzi. Kwa mfano, sehemu ya ufafanuzi ingekuwa kama kungefanyika kampeni ya kuondoa rangi ya njano kwenye bendera ili iwekwe rangi ya dhahabu, au ingekuwa tu ni suala la kuuita rangi iliyopo ya dhahabu japo kila mtu anaona ni njano. Lakini huyu Katibu Mkuu bado akajibu kwa kiburi na sasa Raisi Magufuli kaingilia.

Ila sijui kama Raisi ana manlaka ya kuingilia na kufanya uamuzi ambao unapingana na katiba.
 
Lazima awe mkali maana mambo ya ndani ndio waliomuingiza cha kike kwa ile barua ya awali.
 
NImesoma kwenye gazeti la Mwananchi na kushitushwa sana na majibu ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, DR Leonard Akwilapo, kwa mwandishi wa habari wa Mwananchi pale alipoomba apewe ufafanuzi kuhusu matumizi ya wimbo na bendera ya Taifa. Angalia hapa chini taarifa kutoka Mwananchi;

View attachment 966788

Sasa hebu niambieni wana JF na jamii kwa ujumla, hivi haya ni majibu ya mtu anayetakiwa kuwa na busara kwa kiwango cha PhD na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu? Je tunahitaji kumwelimisha Dr. Akwilapo kazi ya vyombo vya habari hapa nchini ni nini, kwamba ni pamoja na kusaidia kufikisha ujumbe wa serikali kwa wananchi? Sasa kama mwandishi wa habari anaomba ufafanuzi ili asaidie kufikisha ujumbe kw wananchi, kwa nini Katibu Mkuu ajbu kwa kiburi namna hii?

Nadhani Dr. Akwilapo anahitaji kukumbushwa kwamba yupo katika nafasi kwa kusudi la kuhudumia wananchi, na wananchi hao ni pamoja na waandishi wa habari.
Duh alinifusha CH117 UDSM amekaa kikukomoa sana huyu baba.
 
Ndugu hakuna busara ya kiwango cha PhD. Umeitoa wapi hii?
 
Baadhi ya viongozi hawana akili kabisa walipata bahati tu ya kupewa cheo bila kutarajia ila mwisho wao sio mzuri
 
Ndugu hakuna busara ya kiwango cha PhD. Umeitoa wapi hii?
Hapana. Nilichomaanisha ni kwamba ukifikia elimu ya PhD dunia inategemea kuwa una busara ya kupita wastani, kutokana na exposure yako.
 
Duh alinifusha CH117 UDSM amekaa kikukomoa sana huyu baba.
Au zile sura za mikausho mikali, kwamba nimesoma kwenye mazingira magumu sana huwezi kuja kufaulu somo langu kirahisi rahisi tu!

Pole ndugu yangu, ndo dunia yetu hii...
 
NImesoma kwenye gazeti la Mwananchi na kushitushwa sana na majibu ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, DR Leonard Akwilapo, kwa mwandishi wa habari wa Mwananchi pale alipoomba apewe ufafanuzi kuhusu matumizi ya wimbo na bendera ya Taifa. Angalia hapa chini taarifa kutoka Mwananchi;

View attachment 966788

Sasa hebu niambieni wana JF na jamii kwa ujumla, hivi haya ni majibu ya mtu anayetakiwa kuwa na busara kwa kiwango cha PhD na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu? Je tunahitaji kumwelimisha Dr. Akwilapo kazi ya vyombo vya habari hapa nchini ni nini, kwamba ni pamoja na kusaidia kufikisha ujumbe wa serikali kwa wananchi? Sasa kama mwandishi wa habari anaomba ufafanuzi ili asaidie kufikisha ujumbe kw wananchi, kwa nini Katibu Mkuu ajbu kwa kiburi namna hii?

Nadhani Dr. Akwilapo anahitaji kukumbushwa kwamba yupo katika nafasi kwa kusudi la kuhudumia wananchi, na wananchi hao ni pamoja na waandishi wa habari.
Angalizo watu wasidhani kuwa Katibu mkuu mtu atakuwa na uelewa wa anachofanya/simamia....arogance alioonesha ilikuwa makusudi kwa lengo la kuficha level yake ya weledi.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom