Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kuwa jeshi la polisi linazo taarifa za watu walioshiriki mauaji ya kiongozi wa (CHADEMA) katika Kata ya Hananasif, Daniel...
Hivi kwanini mtu akipenda chooni kukojoa lazima ajambe. utasikia churururururu halafu mbwi kuna uhusiano gani kati ya kujamba na kukojoa na kwanini mtu awezi kukojoa bila kujamba?
Baada Ya kuangalia Dunia ilivo napata maswali mengi sana juu ya nchi yangu Tanzania, Mama Tanzania.
Hivi Rais Magufuli kwa miaka mitatu amefanya mabaya sana kuliko Rais Kagame wa Rwanda?
Naona...
Nilibahatika kutembelea eneo la Njiro round about kwa Rafiki yangu, nakukuta yupo busy kupakia madumu kwenda kuteka maji.
Binafsi nilishangaa kwani pamoja na Arusha kuwa na vyanzo vingi vya maji...
Huu utawala haufai kbs ni utawala katili kuwahi kutokea
Hauna huruma kwa wananchi kabisa
Kilichoniuma zaidi ni juu ya wananchi wakienda mahakamani kesho yake watawala wanakuja kuwavurugia
Wananchi...
PSSSF ni kizungumkuti. Ati Sheria mpya inaanza rasmi kuuma August 1. Nini fate ya wale walioachishwa kazi before July, 2018 kushuka chini huko? Watu wanasubiri muda mrefu.
Mambo yanayoelezwa...
Kada wa CCM, ambaye mwaka 2015 alijitosa kuwania kupitishwa na chama hicho kuwania urais, Dk Muzzammil Kalokola ana mpango wa kuingia tena kwenye mbio hizo mwaka 2020, na hivyo kuwa mpinzani wa...
Vyeti vya ndoa ni vile vile. Tofauti ni ya watia sahihi tu.
Watu huchanga mamilioni kwa ajili ya anasa tu ; kulewa , kula kianasa na mbwembwe zingine.
Mm nategemea kuipiga harusi chini nikafunge...
Uamuzi alioutoa Kocha wa Yanga Zahera kwa kutokumhitaji tena kipa Kakolanya ninakualiana naye kwa asilimia mia moja. Katika dunia hii hakuna mtu asiyedaiwa. Mfano wastaafu wa Jumuiya ya Afrika...
Zipo sheria kalikali zilizowekwa na mataifa duniani, lakini kamwe hazikuwahi na hazitakuwa suluhisho la matatizo ya dunia hii.
- Fikiria uwepo wa sheria kali za ubakaji. Lakini leo hadi watoto...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametaka kufanyiwa marekebisho kwa baadhi ya Majiji hapa nchini, ikiwemo ya Dar es salaam, Tanga, na Arusha ili yaweze kuvutia watalii pindi wanapokuwa wanaingia nchini...
Kwanza kabisa naomba nieleze masikitiko yangu kwa yanayoendelea mtaa wa Kinondoni B nyuma ya open University.
Kuna ibada zinaendelea tangu asubuhi leo ambapo wahusika wanatumia spika kubwa zenye...
Habari wakuu.
Nmefurahi sana kuona uzi wangu ukizunguka mitandao mbalimbali huku watu wakijaribu ku-share na kutoa maoni yao kwa nguvu zote. Hakuna jambo zuri na la heshima kama kuona kazi...
Mimi ni mteja wa Azam tv baada ya kutokea seke seke la chanel za ndani had lilipoisha Azamtv chanel hazkurudi na kibaya zaid hakuna taarifa kwa sisi wateja kutoka azam wala mamlaka ya...
(Guardian leo 15/12/2018)
Kama kuna athari za machinga hujaziona, basi pita mtaa huo wa Uhuru/Congo ujionee.
Mkandarasi hata mahali pa kumwaga kifusi hakuna, utitiri wa machinga upo kila kona...
Bado kuna watu ndani ya jukwaa hili ambao toka enzi za nyerere akili zao huwa zinawaza ulaya.
Kwa taarifa yako tunao kujua ulaya ni kwa kawaida sana, na maisha ya kule ni magumu sana wala hakuna...
Protocol observed.
Wakuu kuna mtu anahitaji chuo kinachofundisha masuala mbali mbali ya ujasiliamali ili aweze kuongeza wigo wa kupambana na maisha. Jitihada za kujaribu kupiria website mbali...
Mwewe ni ndege hatari sana kwa vitoto vichanga ( kuvidonyoa) na pia kwa kuku au bata hasa vifaranga.
Mwewe alivyomshenzi , anakula vifaranga ambavyo viko ndani ya banda lililowekwa uzio wa wavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.