Suala la watumishi kutokuongezewa mishahara kwa miaka 3 mfulululizo, je, watumishi wamepumbazwa na Mwenge wa Uhuru?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Hi friends!
Siko serious hapa msije mkaniteka bure ingawa siogopi sana kutekwa.
Suala la watumishi wa umma kusitishiwa baadhi ya stahiki zao ikiwemo kutoongezwa mshahara kwa miaka mitatu mfululizo na kutopandishwa madaraja kwa waliostahili kupandishwa na bado wako kimya je, mwenge umewapumbaza?
 
tatizo la wafanyakazi ni waoga na hawana umoja, ilibidi wakomae lkn wanasema ukiandamana au ukigoma unafukuzwa kazi
mtu akicheki familia inamtegemea, kazi alipata kwa mbinde na unakuta elimu yake ya kuungaunga anaona "half a bread is beter than no bread" bora avunge
vyama vya wafanyakazi ni vimeshikwa na ikulu kama sio kurogwa
wafanyakazi acheni uoga mtakuja mshikwe matako
 
Mbona sekta ya majeshi na afya walipandishiwa mishahara yao kitambo?

Vuta subra tu.

Kumbuka maneno ya PM "Hatupendi kutangaza tunapopandisha mishahara ili kuthibiti mfumuko wa bei"
 
Hivi sekta ya afya walikumbukwa nao?
Mbona sekta ya majeshi na afya walipandishiwa mishahara yao kitambo?

Vuta subra tu.

Kumbuka maneno ya PM "Hatupendi kutangaza tunapopandisha mishahara ili kuthibiti mfumuko wa bei"
 
Back
Top Bottom