Habari wa kuu wangu. Leo nimeamka nimekutana na hiki kitu cha ajabu kwa kuku wangu. Kuku alikuwa analalia wiki moja iliyopta usiku mmoja alinyonyoka manyoya ya shingoni hadi kuelekea mgongoni na...
Wakuu,
Kujitathmini ni moja ya njia inayokufanya ujirekebishe ulipokosea na uwe mtu mpya katika mambo mbalimbali unayofanya, kujitathmini sio lazima iwe mwaka hadi mwaka bali huanzia siku...
nakushangaa sana Mzee ..
hadi Leo hakuna nyongeza kwa wafanyakazi ..
watu wamesimamishiwa ajira zao..
wafanyakazi wamerudishwa madaraja yao wakati walishapanda..
juzi umetafuta kiki Hapa ya...
FUNDI baiskeli mjini Tarime amekufa baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana na kunyofolewa sehemu zake za siri.
Fundi huyo alikufa akikimbizwa hospitalini na polisi waliofika eneo la tukio...
1.KIBORILONI & KIBOSHO[MOSHI].
Kiboriloni ni neno lililotokana na maneno mawili KIBO ALONE. Hii ilikuwa sehemu ambapo wazungu walisimama na kuona kilele cha Kibo pekee bila kukiona kilele cha...
Wana jf...natumai mko salam kabisa.
Kwanza napenda kulipongeza jeshi la polisi tz kwa kuwahakikishia ulinzi watanzania katika kilele cha fiesta viwanja vya liders jijini dar es salam.
Hakika...
Miaka michache iliyopita rafiki yangu alinipa stori moja ambavyo alipata kazi kutoka kwenye kampuni moja ya kudai madeni. Kampuni hiyo ipo Selander jijini DSM.
Mteja wa kwanza jamaa yangu kupewa...
[emoji117]Kijana wa miaka 17 nchini China ana shahada ya Udaktari
[emoji117]Kijana wa maika 17 nchini Japan ana shahada ya makenika
[emoji117]Kijana wa miaka 17 nchini Marekani ana utajiri...
MARA: Watoto wanne katika Kata ya Kisorya wilayani Bunda ambao ni watoto wa familia moja ya mzee Siajali Magoti wamefariki kwa kupigwa na radi iliyokuwa imeambatana na mvua ya upepo.
Kamanda wa...
Huko Mtwara jamaa mmoja ajulikanaye kama Abdlah Chande amefariki dunia baada ya kuibuka mshindi wa kunywa mizinga minne ya gongo
Kijijini Likolombe mashindano haya yapo kila wakati...
Kipindi...
Serikali iliwaza nn kuanzisha board ya mikopo ??, kwa nn ikopeshe watanzania baadhi na wengine wakose haki ya kukopa??, mfano watanzania wanaosoma ngazi ya ASTASHAHADA na STASHAHADA. Hawa n...
Kwanza nichukue nafasi hii kukupongeza kutimiza mwaka mmoja tangu uchaguliwe uwe rais wa JMT.Hakika Watanzania wanajivunia kuwa na rais mwenye uchungu na Watanzania.Rais anayeguswa na sshida za...
Nimekaa na kujiuliza lakini sipati majibu.
Wakati mwingine napata hasira ninaposikia mtu anapata tatizo alafu anaambiwa usijari Mungu atakusaidia.
Kiukweli hakuna utumwa mkubwa kama kuendelea...
Jamani habari za leo,
Hivi uliwahi kutafakari namna unavyowaza ktk nafsi yako kabla ya kutamka kwa maana ya kutoa sauti kile ulichokuwa unakiwaza? mara nyingi wetu huwa hatulijali sana hili...
TANROADS wanalishikilia lori lililopata ajali kwa kuharibu barabara kwa mwezi mmoja sasa. Mwenye lori anasema anayewajibika kulipa uharibifu huo ni kampuni ya bima.
Hebu tupeane elimu, hizi nguzo...
Najiuliza hata sipati jibu. Ni nani aliplan barabara ya mwendo kasi iishie kimara mwisho na si mbezi mwisho? Hapo ndo nakosa jibu kabisa. Hii barabara ya morogoro ni barabara pekee inayopeleka...
Mji wa Kahama ndio mji unaokua kwa kasi kubwa kanda ya ziwa na Magharibi mwa Tanzania.Sifa kubwa ya mji huu ni kilimo na biashara,.
Upande wa kilimo zao la mpunga ndio limepewa kipaumbele kikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.