UNDUMILAKUWILI (DOUBLE STANDARDS) WA WAMAREKANI

chagonjam

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
354
500
Angalia video hii. Mchokoza mada mzungu anadai Nigeria ni most corrupt nation. Mjibu hoja ambaye ni mweusi anamshushua na kumwambia hana "moral authority" ya kuwanyooshea wengine kidole
 

Attachments

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
4,889
2,000
Duh, jamaaa kamchana kinoma, naona mzungu kakaa kimya hahaha, huyo mzungu nafkiri kakosea aliposema NIGERIA ni nchi inayoongoza kwa corruption DUNIANI
 

Cannibal OX

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
2,771
2,000
Huyo ni Louis Farrakhan Sr., formerly known as Louis X, is an American black nationalist and minister who is the leader of the religious group Nation of Islam
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom