Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MUONGOZO KWA BALOZI YEYOTE ATAKAYEALIKWA KWENYE MJADALA NA TINDU LISSU Ndugu Lissu kabla sijakupa pole kwa unayodai yamekukuta ninayo mambo kadhaa yanayohitaji ufafanuzi. Awali ya yote ningependa...
9 Reactions
62 Replies
11K Views
Wala aina aja ya kuzunguka kushoto na kulia kutafta nikwanini tufanye hvyo ila kama kuna binadamu hapa duniani aliwai kupigwa risasi ata saba akapona basi nafikiri ni wachache mno. Napendekeza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna kitu ambacho Mwalimu alikijenga kwa Watanzania ambacho kwa zama na nyakati za kizazi cha sasa uwa napenda kusimama pembeni dhidi ya misimamo yake hiyo Baba wa Taifa.Nakubali kwa nyakati zake...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Kagga Kamma(South Africa) Breathe in the fresh air and enjoy the peaceful atmosphere of the Reserve. Kagga Kamma not only offers guests spectacular scenery and absolute tranquillity, but also...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mnalo jukumu la kutetea haki za binadamu, mnalo jukumu la kutetea haki za watu nje na ndani ya mahakama.Mnalo pia jukumu la kutoa elimu pamoja kuwahabarisha wananchi. Naomba mfanye kazi moja...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Toka wiki iliyopita nikiingia JamiiForums nakutana na nyuzi nyingi kuhusu Lissu na ziara zake nchi za Magharibi. Juzi nikasema nifanye utafiti; je, wananchi wa kawaida mitaani ambao sio member wa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Ahadi ya Nyerere kwa Wazanzibari lazima ihishimiwe Na Ahmed Rajab MIAKA 55 tangu uundwe Muungano wa Tanzania, baina ya Tanganyika na Zanzibar, Aprili 26, 1964, Muungano huo umekuwa uwanja wa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ghalama ya kuweka sola yenye uwezo sawa na umeme wa tanesco ambao haujakatika zina uuwiano gani? Faida na hasara ni zipi ktika option zote mbili? wadau karibuni kwa ufafanuzi... Sio solar tu...
5 Reactions
148 Replies
34K Views
Habari zenu wakurugenzi, Ni muda kidogo umepita tunasikia matusi dhidi ya Rais, wengine wanamkejeli na kumbeza kwa kazi anazofanya. Wengine mpaka wanaingiza masuala yasiyo juu ya mheshimiwa Rais...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekaa na kutafakari, uchumi wa nchi upo taabani kama sio umekufa kabisa. Katika hali ya kushangaza na kufikirisha.. Imefika hatua madereva wa Bodaboda na Bajaji wanatakiwa kuwa na VITAMBULISHO...
9 Reactions
36 Replies
7K Views
UJENZI wa Awamu ya Pili ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam unaohusu barabara ya kadhaa ikiwemo ya Kilwa, utaanza rasmi Machi mwaka huu baada ya mkandarasi kupatikana na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wazee wa kusema hii ni nchi huru hatutishwi, soma hiyo barua hapo Kikwete akipigwa mkwara, 2012 na Mr. Brad Sherman kasaini pia
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya amesema jumla ya viwanda 3,504 vimeanzishwa nchini na serikali ili kujenga uchumi wa viwanda. Amebanishha hayo Bungeni alipokuwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
wadau habari! iko ivi kuna hizi soda mpya za pepsi za mls 500 ambazo huuzwa 600 zimekua zikilipuka (kubasti ) ovyo ovyo zenywe na ambazo zinapasuka zaidi ni ambazo azijawekwa kwenye baridi,na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
VIWANDA 14 vilivyokuwa vimebinafsishwa vimerejeshwa serikalini na juhudi za kuwatafuta wawekezaji wa kuviendesha zinaendelea. Hayo yalielezwa jana bungeni na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1:Tuliwapelekea kuni, 2:Tuliwachotea maji, 3:Tuliwalimia mashamba, 4:Tuliwafanyia kazi za nyumbani wote walikaa quarters, 5:Rambirambi walikusanya wao, 6:Tofali tuliwafyatulia hata za...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kamanda wa polisi mkoani Mwanza Ahmed Msangi amesema wamekamata watu wanne wanaojihusisha na uzalishaji wa pombe kali aina ya 'kubumba'. Mmliki wa kiwanda hicho anaitwa Emanuel George Munisi...
3 Reactions
41 Replies
13K Views
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inapenda kuwataarifu wadadisi wote waliohusika katika kazi ya kukusanya takwimu za Mapato na Matumizi ya kaya wa mwaka 2017/18 kuanzia Desemba 2017 hadi Novemba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ofisi ya taifa ya takwimu (NBS) imewastaajabisha waajiriwa wake wa muda waliomaliza muda wao wa kazi katika mradi wa HBS uliofanyika kuanzia mwezi Disemba 2017 mpaka Novemba 2018. Katika hali ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa shule ya msingi Lukungu kata ya Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu Joyce Joseph miaka 8 aliyekuwa akisoma darasa la pili katika shule hiyo ametekwa na watu wasiojulikana na kumuuwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom