Sawa anakosea lakini aheshimiwe ni Rais wetu

Sawa anakosea lakini aheshimiwe ni Rais wetu

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,287
Reaction score
49,246
Habari zenu wakurugenzi,

Ni muda kidogo umepita tunasikia matusi dhidi ya Rais, wengine wanamkejeli na kumbeza kwa kazi anazofanya.

Wengine mpaka wanaingiza masuala yasiyo juu ya mheshimiwa Rais wetu John Pombe Magufuli.

Nina sababu za msingi za kwanini sioni haja ya kutokumheshimu na kumpa heshima yake mkuu wa nchi yetu.

1. Tutapoteza muda mwingi kutunga matusi na uongo juu yake badala ya kutumia muda mwingi kuwaza njia mbadala za kukinzana naye kwa hoja juu ya maendeleo yetu.

2. Tutapoteza muda kumpinga nchini na kumbeza kazi anazofanya lakin pindi mkiwa ubelgijiiiii mnalazimika kufika kwenye balozi zetu ili mpate baadhi ya huduma na hapo lazima utaje Rais wako, ama kwa makaratasi unayojaza au hata kwa kuona picha yake pale ubalozini, ndo mwakilishi wako.

3. Pia si vema kuchagua I con ya mtu ambaye yuko katika special class.

Namaanisha katika watanzania milioni 300, ambao wamewahi kuishi tokea tumepata Uhuru, kuna watu watano tu ambao wamepewa dhamana ya kuwaongeza hao.

Yaani Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli.

Kwa wana mahesabu najua mmeelewa nimeongea nini.

Japo tunayatambua makosa kama haya ambayo kafanya;


1. Kulazimisha watu kulipa kodi kupitiliza yaani hawana taarifa sahihi za wafanyabiashara wote, wanachofanya ukijulikana mfanyabiashara mmoja wakajua ulipo basi watakukamua kufidia na za ambao hawajulikani.

2. Mikutano ya siasa imepigwa marufuku wakati ni haki ya wanasiasa kikatiba.

3. Uchumi umelega lega kidogo kwa kufungia hela zote hazina, pia kufanya taasisi za fedha kusitisha ukopeshaji kwa waliokuwa wameshaandaa miradi yao na wengine kukwama kabisa na mzunguko kudhoofika.

4. Kuwasitishia ajira walimu wa wa daraja la 3A ambao hawana pa kuajiriwa maana mfumo wetu wa elimu ya msingi hauendani na mfumo wa private English medium schools, hivo hakuna shule za binafsi zinazotumia mfumo wa elimu ya msingi kama ya serikali.

5. Uhuru wa habari na vyombo vya habari umepungua kidogo

6. Uhakiki usiokuwa na kikomo,

Mwisho tutumie mda wetu mwingi kuwaza kuondoka katika wimbi la umasikini kuliko kupoteza kuda kubuni matusi.


Tunakuunga mkono Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania.
 
kwani Rais sinibinadamu kama alivyo bibi yako au yeye ni Mungu mtu hapa Tz hakuna mtu mwenye maana yeyote ...kama nikutukanwa anabidi atukanwe ....vizuri tu...mtakaa mnaabudu watu mpaka lini .
 
mkuu ulikuwa unaandika thread tamu hasa ile ya dk shika, ilikuwaje ukageuka ukawa mtetezi wa serikali ya chama chakavu?
 
kwani Rais sinibinadamu kama alivyo bibi yako au yeye ni Mungu mtu hapa Tz hakuna mtu mwenye maana yeyote ...kama nikutukanwa anabidi atukanwe ....vizuri tu...mtakaa mnaabudu watu mpaka
Yes, huyu ni wa katukanwa kila siku kwa sababu ni katili na muuaji mzoefu hatari.
 
Habari zenu wakurugenzi
Ni muda kidogo umepita tunasikia matusi dhidi ya Rais , wengine wanamkejeli na kumbeza Kwa kazi anazofanya,

Wengine mpaka wanaingiza masuala yasiyo juu ya mheshimiwa Rais wetu John Pombe Magufuli

Nina sababu za msingi za kwanini sioni haja ya kutokumheshim na kumpa heshima yake mkuu wa nchi yetu,

1. Tutapoteza muda mwingi kutunga matusi na uongo juu yake Badala ya kutumia muda mwingi kuwaza njia mbadala za kukinzana naye Kwa hoja juu ya maendeleo yetu

2. Tutapoteza muda kumpinga nchini na kumbeza kazi anazofanya lakin pindi mkiwa ubelgijiiiii mnalazimika kufika Kwenye balozi zetu ili mpate baadhi ya huduma na hapo lazima utaje Rais wako , ama Kwa makaratasi unayojaza au hata Kwa kuona picha yake pale ubalozin, ndo Mwakilishi wako,

3. Pia si vema kuchagua I con ya mtu ambaye Yuko katika special class

Namaanisha katika watanzania milion 300, ambao wamewahi kuishi tokea tumepata Uhuru ,kuna watu watano Tu ambao wamepewa dhamana ya kuwaongeza hao


Yaan Nyerere, Mwinyi,Mkapa, Kikwete na Magufuli,

Kwa wana mahesabu najua mmeelewa nimeongea nini

Japo Tunayatambua makosa Kama haya ambayo kafanya


1. Kulazimisha watu kulipa kodi kupitiliza yaan hawana taarifa sahihi za wafanya biashara wote, wanachofanya ukijulikana mfanya biashara mmoja wakajua ulipo basi watakukamua kufidia na za ambao hawajulikani

2. Mikutano ya siasa imepigwa marufuku wakati ni haki ya wanasiasa kikatiba

3. Uchumi umelega lega kidogo Kwa kufungia hela zote hazina, pia kufanya taasisi za fedha kusitisha ukopeshaji Kwa waliokuwa wameshaandaa miradi Yao na wengine kukwama kabisa, na mzunguko kudhoofika,

4. Kuwasitishia ajira walimu wa wa daraja la 3A ambao hawana pa kuajiriwa maana mfumo wetu wa elimu ya msingi hauendani na mfumo wa private English medium schools, hivo hakuna shule za binafsi zinazotumia mfumo wa elimu ya msingi kama ya serikali,

5. Uhuru wa habari na vyombo vya habari umepungua kidogo

6. Uhakiki usiokuwa na kikomo,
,
Mwisho tutumie mda wetu mwingi kuwaza kuondoka Katika wimbi la umasikini kuliko kupoteza Kuda kubuni matusi


Tunakuunga mkono Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania
FB_IMG_1520848889780.jpg
 
"respect is earned"
unamheshimu vipi mtu asiye jiheshimu??
 
Heshima hailazimishwi !! Hutokana na matendo mema ya mtu. Si huyu anayesema kwa watu wake hakika nita deal with them !!!! [emoji73] [emoji85]
 
Ogopa sana kutawaliwa na Jitu Jinga, Shamba, Limbukeni, Halafu linajifanya Juvi ( Halitaki kushauriwa ). Lina roho mbaya na katili, litawaua wangapi ili nafsi yake isuuzike ?
Mh
 
Back
Top Bottom