Kwa akili yangu ndogo ila naona kuna umuhimu wa kumfanya Lissu kama kivutio cha utalii.

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Wala aina aja ya kuzunguka kushoto na kulia kutafta nikwanini tufanye hvyo ila kama kuna binadamu hapa duniani aliwai kupigwa risasi ata saba akapona basi nafikiri ni wachache mno.

Napendekeza badala ya kukaa tunalumbana kama taifa mpaka tunajikuta tumegawanyika pande mbili, wanaompinga lissu na wanao msapoti lissu ni bora kwa moyo mkunjufu kabisa tukatafuna namna yakuingizia nchi foreign currencies kwa kupitia mgongo ww bwana uyu.
 
Hahahaaaa

Followers wake walipoongezeka Kwenye page zake Za Mitandao ya kijamii kakurupuka kutangaza nia ya Urais

Amuulize Slaa, alipata 78% ya kura zote JF dhidi ya Jk Au Amuulize Da Mange zile likes wakati anahamasisha maandamano akajua ndio Mafuriko ya watu mitaani
 
Achana na habari za uraisi jibu hoja je kuna umuhimu wa kumtumia kama nchi ili tupate fedha za kigeni?
 
Kwa akili yako ndogo, kumbe wewe.ni kichaa, basi jadiliana na wenye akili ndogo kama wewe sisi wenye akili kubwa ngoja tuendelee na mambo yetu
 
Kwa akili yako ndogo, kumbe wewe.ni kichaa, basi jadiliana na wenye akili ndogo kama wewe sisi wenye akili kubwa ngoja tuendelee na mambo yetu
Ata mwenye akili ndogo anaweza kuwaza mambo makubwa. Don't take my statement very serious.
 
Tena napendekeza tumpeleke kule kwenye Kisiwa cha Sanane au Bujora Kisesa Mwanza akafungiwe kwenye mabanda maalumu kama Sokwe Mtu, Simba, Nyani na Majoka,kwakweli tutapiga foreign currencies mpaka BOT washangae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja. Nashauri tutafute watu wajuaji kama yeye (Lisu) then tuutangazie ulimwengu kupitia vyombo vikubwa vya habari duniani kwamba kutakuwa na mdahalo mkali sanaaa kati ya Lisu na ... na ili mdahalo huo urushwe na kituo chako basi ada ni $1mil.
Nafikiri tutapiga hela mingi sana na BOT wakusanye hiyo pesa.
Mbona epl inaonyeshwa kwa fedha mingi, tushindwe hili?? ‍♂️‍♂️
 
Wala aina aja ya kuzunguka kushoto na kulia kutafta nikwanini tufanye hvyo ila kama kuna binadamu hapa duniani aliwai kupigwa risasi ata saba akapona basi nafikiri ni wachache mno.

Napendekeza badala ya kukaa tunalumbana kama taifa mpaka tunajikuta tumegawanyika pande mbili, wanaompinga lissu na wanao msapoti lissu ni bora kwa moyo mkunjufu kabisa tukatafuna namna yakuingizia nchi foreign currencies kwa kupitia mgongo ww bwana uyu.
Ushasema kuwa una akili ndogo, hivo si busara ku-associate na watu wenye akili ndogo maana uelewa wenu ni wa kimakinikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom