LHRC na TLS sikilizeni

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
200
1,000
Mnalo jukumu la kutetea haki za binadamu, mnalo jukumu la kutetea haki za watu nje na ndani ya mahakama.Mnalo pia jukumu la kutoa elimu pamoja kuwahabarisha wananchi.

Naomba mfanye kazi moja kubwa lakini ndogo, kwenye page zenu za mitandao ya kijamii ikiwemo blog wekeni ukurasa maalum utakaokuwa na stori za uvunjifu wa haki za binadamu pamoja other burning issues zinazotokea hapa nchini na nje ya nchi.

Taarifa hizi mnaweza kuzitoa kwenye sources tofauti ikiwemo reporters wa media mbalimbali, page hii iwe inaruhusu watu kusoma na kusikiliza video pamoja na kuona picha....mtakuwa mmetengeneza forum ambayo watu watakuwa na one center ya taarifa.

Naona Kama matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu yanaongezeka ila bado mpo nyuma kukemea na kuwahabarisha wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom