Wahamiaji 100 kutoka nchi saba za kiafrika na moja ya kiarabu ambao ni walowezi walioishi nchini kihalali kwa muda mrefu na baadae muda wao kumalizika wamekamatwa na kutozwa faini ya shilingi...
Leo downtown Dar nimeingia kwenye tower moja maarufu sana na humo kuna ofisi kibao za watu mbalimbali, ofisi zote ziko clean and clear ila ofisi zote za wahindi nilizoingia nilikuta ndulele aka...
Jeshi la Polisi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, linawashikilia watu watatu wanaotuhumiwa kufanya uharibifu wa mazingira kutoka kijiji cha Mafisa wilayani Kilindi eneo lenye mgogoro wa mpaka kati...
Pio wa Pietrelcina (25 Mei 1887 - 23 Septemba 1968) alikuwa Padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa Ndugu Wadogo Wakapuchini
Alipingwa na kudhulumiwa, lakini pia aliheshimiwa na umati wa watu...
Ama kwa hakika tupo kwenye right trucks kama tukipata vijana wengi wa aina hii, itasaidia sana kuipaisha nchi yetu kimataifa, siyo wengine kazi yao kuichafua tu kila siku
Na pia nasikia...
Ukiitazama picha hii ya Mh. Tindu Lissu utaona kuwa mguu ulioumia sana ni ule wa KULIA. Kwenye eneo la tukio tuliona risasi nyingi zilitokea Kushoto- ni mantiki yake
ELIMU YA TANZANIA INAWAANDAA VIJANA KUWA TEGEMEZI.
Naamini hujambo na unaendelea na maandalizi ya kufunga mwaka (2018) na kufungua mwaka (2019).
Kwa Tanzania tunapoanza shule wanafunzi huja na...
Naomba niwatie Moyo ninyi mnaoumizwa na kauli mbalimbali za viongozi.
Tangu siku ashambuliwe tundu lissu nimekuwa nikifatilia kwa makini kauli za viongozi nikagundua!
Ni kauli zilizojaa dharau...
MUZIKI NA MALEZI
Mzazi lazima umwambie mtoto wako kuna nyimbo hatakiwi kuzisikiliza wala kuziimba.
Kwenye eneo la muziki na malezi wazazi mmejisahau sana.Wengi mmeweka mkazo katika kuzuia watoto...
Samani za Benki za Exim katika Matawi yote hapa nchini zitapigwa mnada kwa amri ya Mahakama baada ya benki hiyo kushindwa kulipa deni LA mteja wao ambapo pamoja na gharama mbalimbali ikiwemo...
Kuanzia mwaka 2015 kumeibuka kwa makampuni mengi ya michezo ya kubashiri hasa upande wa michezo (mpira nk), kuanzia 2016 kwenda 2017 kukaanzishwa michezo mingine ambayo haikuwa upande wa kubashiri...
Haya mambo tuseme ukweli yameshika sana kasi siku hizi tuache maskhara!! Ila yana usiri mkubwa sana ,Kusema kweli mie mgeni kwenye hiyo sekta sijawahi na wala sitegemei kuingia huko ila naomba...
Jumatano ya 17 Januari 2018, nilisafiri na basi la Lucky Star toka Mwanza kwenda Dodoma, pale Mwanza tuliondoka saa 7:30 mchana na tulifika Dom saa 7 usiku.
Basi lile japo kwa muonekano liko...
Kama kichwa cha habari kinavyosema leo kwa mara ya kwanza nimeona wamasai wakiwa wanazika ,walikuwa kama 40 wakiwa wamevalia mavazi yao ya asili huku wakiimba nyimbo katika makaburi ya njedengwa...
Naomba ufafanuzi kwa wajuvi tafadhali;
Nasikia tetesi kwamba ukiwa na pesa ndefu kwenye Akaunti au Akaunti ikitumiwa (ikiingiziwa)au kupokea pesa ndefu mathalani kuanzia 15milion nakuendelea...
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Taarifa ya SUMATRA kuhusu mabadiliko ya njia za daladala zinazotumia kituo cha Gerezani.
Wamiliki wote wa daladala wanaotumia kituo cha Gerezani wamepewa siku mbili kutakiwa kuondoa gari zao...
Kuanzia bishara ya utumwa hadi ubaguzi wa South Africa hadi kina Mobutu, Jammeh, Gbagbo na madiktetea wengine wazoefu na wale wanaochipukia huwa wanaona ni haki yao kutesa wenzao.
Hawataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.