Mara nyingi naona mh Rais akiwa kanisani uwa kuna kitu anapewa mkononi na padre anajilisha..na kuna siku1 niliona kapewa kikombe akanywa.
Nimeuliza kwa wataalamu wameniambia ni Mkate na...
Jiji la Dar es salaam kwa sasa lipo kwenye kipindi cha mvua,kuanzia majuzi jana mpk leo mvua inanyesha tu.
Nimuombe Mungu apeleke gharika kwenye madanguro yote yaliyo chukizo mbele ya binadamu na...
Nimepewa taarifa kuwa polisi huuza kwa mnada pikipiki zilizokamatwa na wenyewe kushindwa kuzikomboa au pikipiki za wizi zilizokamatwa na wamiliki halisi kushindwa kujitokeza hivyo kuendelea kuozea...
Lkn hii kazi inalawama sana wananchi hata uwape kila kitu kama alivyofanya Gadafi hawaliziki jmn??
Kila mtu aAJIWEKE HII nafasi kama angekuwa Raisi wa nchi yetu angeendesha vp bila kulalamikiwa...
Habari wakuu
Kiukweli kwa hadhi kubwa ya jiji letu kuu la Dar es salaam iliyonayo haifai kuwa na basi zinazotumika kusafirisha watu ndani ya jiji hili
Basi zimechoka saaana kiasi kufikia...
Nimeangalia Habari huko Youtube naona Huyu jamaa anazidi Kuiabisha Serikali Ughaibuni! Hii ni jana Usiku Waungana hivi anachofanya ni haki Kweli!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetazama video yao wakijisifu kuna wakenya na makafiri. Nimeumia sana.
Natafuta namna ya kuwahujumu ili kuwasambaratisha. Njia mojawapo ni kuwa member humo ili kuvujisha mipango yao yote...
KWA TAKRIBANI WIKI MOJA SASA, TUMEKUWA HATUTOWI KWA KINA HABARI ZINAZOONGOZA KWENYE MAGAZETI YETU, IKIWA PAMOJA NA HADITHI ZA SHIGONGO NA MIKASA YA KUSISIMUA. HATUA HII ILICHUKULIWA BAADA YA...
Naomba kuelimishwa .
Nimecheck website ya NSSF, nikaona fao la Urithi linahusu wale wategemezi wa mwanachama wa NSsF ayechangia miaka15 au yuko kwenye fao la ulemavu, pia awe amefikia angalao...
Baada ya matokeo ya kidato Cha nne kutoka kijana wangu ana alama hizi, Civ D Hist D Geog D kisw C Chemist D English C biology C Math F mimi mlezi sinaufahamu wowote kijana anataka kuendelea masomo...
Nachukia kuwa profesa SIASA ambaye anashindwa hata kutengeneza mambo ya familia yake,wanaacha kusimamia ukweli na hao wachungaji wa kisiasa ambao wanaacha kuchunga waumini wao badala yake...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku ya alhamisi ya Februari 7, 2019 ilielezwa kuwa mbunge wa Kawe (Chadema), Mh Halima Mdee alishindwa kufika kusikiliza kesi yake inayomkabili kwa kuwa anamuuguza...
Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro (chadema)amejiapiza kuendelea kushikilia nafasi hiyo katika vipindi viwili vijavyo na hakuna mwenye uwezo wa kumwondoa katika kiti hicho.
Lazaro amejinasibu...
Nmefurahi leo kumuona Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano kuwa miongoni mwa waumini walio uzuria ibada ndani ya kanisa la SCOAN hakika nmefurai sanaa.
Niseme ukweli pia nimefurah kumuona Mh Rais...
Natumaini mu wazima wa afya. Nina wazo la biashara mpya kabisa hapa nchini. Ni uwekezaji katika MAGEREZA ZA WATOTO NCHINI. kufanya uwekezaji wa Ujenzi wa Magereza ya kisasa yenye mahitaji yote Kwa...
Leo naomba kuwafahamisha kwa undani tunda na mbegu ya mti Wa mharadali uliosemwa na Yesu!
ambao kwasasa umezagaa hata mtaani kwako ukiutafta utauona!
SIFA ZA MTI HUU WA MHARADALI
Mbegu zake...
Kwa wale wasafiri na wafanyakazi wa mjini wataelewa hili hivi kwa nini Huduma za choo huwa hazipandi wala kushuka bei kama ilivyo Huduma zingine mfano nauli za daladala bidhaa na Nk.
Kwa muda...
Wakuu habari najua kwenye hill jukwaa ntapata ufumbuzi wa hili swala....
Mala kwa mala nimekua nikionana na namba zinazojirudia kwamfano 11:11, 22:22, 3:33,10:10 ,15:15 00:00 na kwendelea sasa...
Al Saedy ya Iringa Dar Dereva Kwa jina Diwani konda kwa jina Ramadhani hawa madogo wanatoka Ng’apa wanakwenda shule Msimba kuna zaid ya kilometa 8 pale kati huyu dereva daily anawabeba awa madogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.