Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mfanyabiashara wa Madini ya Tanzanite jijini Arusha,Jeremiah Simion(49)Mkazi wa Sekei wilayani Arumeru,ametoweka katika mazingira ya kutatanisha na inahofiwa kutekwa na watu wasiofahamika. Simoni...
3 Reactions
37 Replies
11K Views
Wakristo wenzangu amkeni twendeni kwenye Jumuiya tukalijenge kanisa. CC Zero IQ
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Waungwana nimepita ktk njia hii ya mandela kutokana na ukubwa wa foleni nikaona nichapuke kwa kufuata mkumbo wa madala dala,ghafla hamadi nikakutana na majengo ya ghorofa 2 yaliyokaa ktk kipindi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri pamoja na baraza la madiwani wamepiga marufuku shughuli zote za waganga wa kienyeji wenye leseni na wasio na leseni wakiwemo lambalamba na wapiga ramli. Mkuu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nina matangazo yangu ya kikampuni changu, na nilikuwa napanga kupeleka pale channel Ten, sasa nikampigia simu rafiki yangu anisindikize ndipo akaniuliza kwani na wewe ni fisadi? nikamwambia...
1 Reactions
104 Replies
34K Views
Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Nyangoye Hamugembe -Bukoba likihusisha gari aina ya Toyota Hiace na Gari kubwa aina ya Fuso Kupitua uzi huu nitakujuza taarifa rasmi za majeruhi na vifo...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
SERIKALI ya Tanzania na Misri zinatarajia kusaini mkataba wa makubaliano wa kuanzisha mashamba makubwa ya pamoja kwa lengo la kuinua kilicho cha ngano, mpunga na pamba. Hayo yamebainishwa na...
4 Reactions
32 Replies
6K Views
Wakuu kuna dogo amegongwa na bodaboda hapa mataa ya Serengeti/Kibasila. Wenzake Wamesema anaitwa SAMIRA, DARASA LA PILI, SHULE YA MSINGI KIBASILA hajaumia sana isipokuwa amejeruhika usoni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wastaafu wenzangu leo nimefanikiwa kufika ofisi za PSSF Dodoma na kuambiwa sababu za Pssf kutulipa asilimia 25 %tofauti na agizo la Rais ni kwamba bado hawajapata waraka rasmi wa kuanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nianze kwa kusema mimi sina mrengo wa chama na ni mtanzania. Kura yangu itategemea ushawishi nitakaopata wakati huo na historia na uwezo binafsi wa wagombea pia nitangulize pongezi kwa Mh Amiri...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Siku nyingi nilikuwa nawaza huyu Lisu yuko huko anatukama serikali, anatukana Bunge lakini posho zake anapewa je sheria zilifichwa au ubinadamu ilitumika zaidi kwa Lisu maana watu wengine ikifika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
leo nimeshangaa kama sio kustaajabu nilikuwa moja ya mitaa hapa jijini..nilikuwa nataka nivuke barabara kwenye zebra nikisubiri magari yapungue au yapunguze mwendo ndio nivuke wakati nikisubiria...
12 Reactions
31 Replies
7K Views
Mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendeyo haraka, maaarufu kama mwendokasi awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala kuu jijini Dar es salaam unatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndugu wana jf. nafikiri unaweza kujiuliza ni kitu gani kimenituma kuongelea amani ya nchi yetu hapa jukwaani, nimekuwa nikifuatilia ingawaje siyo kwakiwango cha juu sana jinsi mataifa...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu wana JF Kwa masikitiko makubwa sana ninawasilisha hii hoja yangu baada ya kuangalia Straight Talk Africa. Aina ya viongozi tulionao wanaacha maswali mengi ya kujiuliza kama kweli wanakidhi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kufuatia kauli ya Waziri wa Tamisemi Mh. Jafo kutishia kuwanyang'anya 50.9 billion za mradi wa ujenzi wa kituo cha mabasi mbezi luguruni kisa uongozi bado unavutana!!!!!!! Nimejiuliza hivi kweli...
0 Reactions
3 Replies
974 Views
Wadau Amani iwe nanyi! Nimependezwa zaidi Asubuhi hii kuwajulisha na kuwakumbusha maandiko matakatifu yanayopatikana katika Biblia, yanayoelezea sauti ya mtu aliae nyikani. Mtu huyu siyo...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu wa shule zinazomilikiwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ)wametakiwa kuboresha uendeshaji wa shule hizo ili kuendana na kasi ya Serikali Pia wametakiwa kufanya hivyo ili kukidhi mahitaji na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Pengine ningeanza kwa kuuliza hivi Kardinali Pengo hana taarifa kuhusu tukio hili? Je, vipi Kakobe (mzee wa kula bata Ikulu), vipi kuhusu yule Shehe maarufu wa Dar es Salaam? Ni kama utani vile...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom