Mwongozo kwa Balozi yeyote atakayeitwa kwenye mjadala na Tundu Lissu

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
228
500
MUONGOZO KWA BALOZI YEYOTE ATAKAYEALIKWA KWENYE MJADALA NA TINDU LISSU
Ndugu Lissu kabla sijakupa pole kwa unayodai yamekukuta ninayo mambo kadhaa yanayohitaji ufafanuzi. Awali ya yote ningependa utuonyeshe matundu 16 zilipoingilia risasi mguuni mwako?

Pili ningependa unifafanulie haya:
a. Ulijuaje kuwa waliokuwa wanakufuata toka bungeni (japo 2017 ulidai walikufuatilia toka Tegeta) ni wauaji?
b. Ni Kwa nini uliamua kwenda nyumbani ilhali ulijua wanaokufuata ni wauaji?

c. Bila Shaka waliokuwa wanakufuata walikuwa ndani ya gari au magari. Ni Kwa nini hukupiga picha gari/magari au hata kunakili namba za usajili za magari au gari?

d. Kwa ufahamu wako ilikuwa vipi risasi hata moja isimpate dereva ambaye alikaa upande risasi zilikotokea? Kumbuka kuwa Dereva wako alidai alikuvuta na kukundamiza.

e. Dereva wako alianza kuugua lini? Mara tu baada ya tukio alionekana akiwa amebeba nguo zenye damu akipokea maelekezo toka Kwa MBOWE. Je aliugua baada au kabla ya hapo? Aliugua ugonjwa gani na gharama za matibabu yake analipiwa na nani? Mko naye hospitalini Bruxelles? Wakati huu wewe unazurura yeye Yuko wapi?

d. Umekuwa ukidai unawajua waliokushambulia na umekuwa ukituhumu serekali. Wewe ni wakili unao ushahidi unaokubalika mahakamani? Leo serikali ikitaka mahakama ikutake upeleke ushahidi utapeleka?

e. Umekuwa ukidai serikali haikulipii matibabu. Je wewe unastahiki kulipiwa matibabu na serikali? Huwajibiki kulipiwa na Bunge?

Huoni ukilipiwa na serikali itasemekana serikali imemeza Bunge kama ambavyo umetuhumu mara kadhaa?

d. Kuhusu kulipiwa matibabu na Bunge ulifuata utaratibu? Iko wapi rufaa yako toka MUHIMBILI? Hivi ulipokuwa Nairobi si uliulizwa Kwa nini hukuenda MUHIMBILI ukajibu hamkuwa na Imani na madaktari uliowaita ni WA SERIKALI?

e. Umedai mara kadhaa hukuwahi kutembelewa na viongozi wa serekali. Hivi ni lazima wewe utembelewe? Lakini ukionyeshwa picha ukiongea na makamu wa raisi ukiwa Nairobi na ukiwekewa clip ukisikika unamshukuru na kumuomba akupelekee salamu zako Kwa Raisi bado utasimamishwa huu uongo?

f. Umekuwa ukidai kuwa siku ya tukio CCTV na walinzi waliondolewa. Kutokana na tabia yako ya kusema uongo unao ushahidi kuonyesha Kwanza kuwa CCTV na walinzi walikuwepo? Una ushahidi kuonyesha walinzi wakiondolewa au CCTV zikiondolewa? Ukiulizwa mahakamani unaweza kutoa ushahidi huu? Je unataka kutuambia walinzi waliwekwa kulinda kila MTU? Hivi walinzi WA chadema waliondolewa na nani? Ni Kwa nini hukuwahi na CCTV kwenye nyumba yako Kwa ajili ya usalama wako? Ni lini ulijua CCTV na walinzi wameondolewa? Ni kabla, wakati au baada ya tukio? Kama ulijua kabla Kwa nini hukuhoji au kuchukua tahadhari au kuarifu Chama chako wakuwekee ulinzi? Sidhani umejua hili wakati au baada ya tukio.

g. Je ukiwa mtunga sheria hujui kuwa ni kosa kupokea mshahara wakati mwajiri wako hana taarifa zako na kazini huonekani?

h. Umekuwa ukidai Tanzania hakuna demokrasia au uhuru wa kujieleza. Je Chama chako hakina vyombo vya habari?

Hamtumii vyombo hivi for freedom of expression? Huwa hakuna uchaguzi? Ulipataje ubunge kama hakuna demokrasia?

h. Huwa unapenda kuonyesha unawajali Sana wananchi wanyonge. Je ni Kwa nini na wewe ni sehemu ya kuwanyonya wanyonge kupitia mishahara na marupurupu ya kibunge ambayo yanazidi ya wabunge katika nchi za magharibi?

i. Je katika maisha yako umewahi kumuona mhindi, Mzungu, Mwarabu, mlatino, mchina au mwafrika aliyekuja Tanzania kuongea na RTD au TVT au ITV au STAR TV au chombo chochote cha habari nchini kuhusu matatizo alivyopata nchini mwake? Unadhani ni kwa nini hujawahi kuona?

j. Mwisho kabisa Ndugu Lissu ningependa kujua katika maisha yako umewahi kutumia kisisimua ubongo cha aina yoyote?
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
2,557
2,000
MUONGOZO KWA BALOZI YEYOTE ATAKAYEALIKWA KWENYE MJADALA NA TINDU LISSU
Ndugu Lissu kabla sijakupa pole kwa unayodai yamekukuta ninayo mambo kadhaa yanayohitaji ufafanuzi. Awali ya yote ningependa utuonyeshe matundu 16 zilipoingilia risasi mguuni mwako?
Pili ningependa unifafanulie haya:
a. Ulijuaje kuwa waliokuwa wanakufuata toka bungeni (japo 2017 ulidai walikufuatilia toka Tegeta) ni wauaji?
b. Ni Kwa nini uliamua kwenda nyumbani ilhali ulijua wanaokufuata ni wauaji?
c. Bila Shaka waliokuwa wanakufuata walikuwa ndani ya gari au magari. Ni Kwa nini hukupiga picha gari/magari au hata kunakili namba za usajili za magari au gari?
d. Kwa ufahamu wako ilikuwa vipi risasi hata moja isimpate dereva ambaye alikaa upande risasi zilikotokea? Kumbuka kuwa Dereva wako alidai alikuvuta na kukundamiza.
e. Dereva wako alianza kuugua lini? Mara tu baada ya tukio alionekana akiwa amebeba nguo zenye damu akipokea maelekezo toka Kwa MBOWE. Je aliugua baada au kabla ya hapo? Aliugua ugonjwa gani na gharama za matibabu yake analipiwa na nani? Mko naye hospitalini Bruxelles? Wakati huu wewe unazurura yeye Yuko wapi?
d. Umekuwa ukidai unawajua waliokushambulia na umekuwa ukituhumu serekali. Wewe ni wakili unao ushahidi unaokubalika mahakamani? Leo serikali ikitaka mahakama ikutake upeleke ushahidi utapeleka?
e. Umekuwa ukidai serikali haikulipii matibabu. Je wewe unastahiki kulipiwa matibabu na serikali? Huwajibiki kulipiwa na Bunge? Huoni ukilipiwa na serikali itasemekana serikali imemeza Bunge kama ambavyo umetuhumu mara kadhaa?
d. Kuhusu kulipiwa matibabu na Bunge ulifuata utaratibu? Iko wapi rufaa yako toka MUHIMBILI? Hivi ulipokuwa Nairobi si uliulizwa Kwa nini hukuenda MUHIMBILI ukajibu hamkuwa na Imani na madaktari uliowaita ni WA SERIKALI?
e. Umedai mara kadhaa hukuwahi kutembelewa na viongozi wa serekali. Hivi ni lazima wewe utembelewe? Lakini ukionyeshwa picha ukiongea na makamu wa raisi ukiwa Nairobi na ukiwekewa clip ukisikika unamshukuru na kumuomba akupelekee salamu zako Kwa Raisi bado utasimamishwa huu uongo?
f. Umekuwa ukidai kuwa siku ya tukio CCTV na walinzi waliondolewa. Kutokana na tabia yako ya kusema uongo unao ushahidi kuonyesha Kwanza kuwa CCTV na walinzi walikuwepo? Una ushahidi kuonyesha walinzi wakiondolewa au CCTV zikiondolewa? Ukiulizwa mahakamani unaweza kutoa ushahidi huu? Je unataka kutuambia walinzi waliwekwa kulinda kila MTU? Hivi walinzi WA chadema waliondolewa na nani? Ni Kwa nini hukuwahi na CCTV kwenye nyumba yako Kwa ajili ya usalama wako? Ni lini ulijua CCTV na walinzi wameondolewa? Ni kabla, wakati au baada ya tukio? Kama ulijua kabla Kwa nini hukuhoji au kuchukua tahadhari au kuarifu Chama chako wakuwekee ulinzi? Sidhani umejua hili wakati au baada ya tukio.
g. Je ukiwa mtunga sheria hujui kuwa ni kosa kupokea mshahara wakati mwajiri wako hana taarifa zako na kazini huonekani?
h. Umekuwa ukidai Tanzania hakuna demokrasia au uhuru wa kujieleza. Je Chama chako hakina vyombo vya habari? Hamtumii vyombo hivi for freedom of expression? Huwa hakuna uchaguzi? Ulipataje ubunge kama hakuna demokrasia?

Omba appointment kwenye kipindi cha bbc hardtalk ukapinge anayosema TL
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,815
2,000
Hahahahaha...... Hivi kwa tukio kama lile kama hamna wakubwa wanaohusika jamani tuseme tu ukweli upepelezi usingefanyika wa maana ili kujua mbivu na mbichi?, hivi kweli kabisa tukio kama lile eti upepelezi ushindwe kukamilika kisa Dereva ambaye alikuwa hapo kenya tuu hata kwa mguu unamfuata? Hivi kweli kama hawahusiki na jambo lolote hata mahojioano anayoyafanya huko wanatumwa kumjibu wangepata kigugumizi? Kweli mnataka mtuambie mmeshindwa kujua ukweli wakat mlisema mnajiweza basi semeni hao wapelelezi kutoka nje waje watuambie ilikuaje, ili kama T.L alijipiga mwenyewe tujue, kuliko kuanza kuzungushana na maswali mengi wakati uwezo wa kupata majibu tunao, huwa tunaambiwa serikal ina mkono mrefu, umeshindwa kuutumia kupata ukweli tusimung'unye maneno hapa, aanze kukuonyesha matundu ya risasi ili ugundue nini wakat ameshapona ungetaka kuyaona hayo matundu alikuwa hapo Kenya muda gani au wakat huo wazo la matundu alikuwepo? Hahahah mlijua mmemaliza safari kumbe ndio inaanza
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,825
2,000
MUONGOZO KWA BALOZI YEYOTE ATAKAYEALIKWA KWENYE MJADALA NA TINDU LISSU
Ndugu Lissu kabla sijakupa pole kwa unayodai yamekukuta ninayo mambo kadhaa yanayohitaji ufafanuzi. Awali ya yote ningependa utuonyeshe matundu 16 zilipoingilia risasi mguuni mwako?
Pili ningependa unifafanulie haya:
a. Ulijuaje kuwa waliokuwa wanakufuata toka bungeni (japo 2017 ulidai walikufuatilia toka Tegeta) ni wauaji?
b. Ni Kwa nini uliamua kwenda nyumbani ilhali ulijua wanaokufuata ni wauaji?
c. Bila Shaka waliokuwa wanakufuata walikuwa ndani ya gari au magari. Ni Kwa nini hukupiga picha gari/magari au hata kunakili namba za usajili za magari au gari?
d. Kwa ufahamu wako ilikuwa vipi risasi hata moja isimpate dereva ambaye alikaa upande risasi zilikotokea? Kumbuka kuwa Dereva wako alidai alikuvuta na kukundamiza.
e. Dereva wako alianza kuugua lini? Mara tu baada ya tukio alionekana akiwa amebeba nguo zenye damu akipokea maelekezo toka Kwa MBOWE. Je aliugua baada au kabla ya hapo? Aliugua ugonjwa gani na gharama za matibabu yake analipiwa na nani? Mko naye hospitalini Bruxelles? Wakati huu wewe unazurura yeye Yuko wapi?
d. Umekuwa ukidai unawajua waliokushambulia na umekuwa ukituhumu serekali. Wewe ni wakili unao ushahidi unaokubalika mahakamani? Leo serikali ikitaka mahakama ikutake upeleke ushahidi utapeleka?
e. Umekuwa ukidai serikali haikulipii matibabu. Je wewe unastahiki kulipiwa matibabu na serikali? Huwajibiki kulipiwa na Bunge? Huoni ukilipiwa na serikali itasemekana serikali imemeza Bunge kama ambavyo umetuhumu mara kadhaa?
d. Kuhusu kulipiwa matibabu na Bunge ulifuata utaratibu? Iko wapi rufaa yako toka MUHIMBILI? Hivi ulipokuwa Nairobi si uliulizwa Kwa nini hukuenda MUHIMBILI ukajibu hamkuwa na Imani na madaktari uliowaita ni WA SERIKALI?
e. Umedai mara kadhaa hukuwahi kutembelewa na viongozi wa serekali. Hivi ni lazima wewe utembelewe? Lakini ukionyeshwa picha ukiongea na makamu wa raisi ukiwa Nairobi na ukiwekewa clip ukisikika unamshukuru na kumuomba akupelekee salamu zako Kwa Raisi bado utasimamishwa huu uongo?
f. Umekuwa ukidai kuwa siku ya tukio CCTV na walinzi waliondolewa. Kutokana na tabia yako ya kusema uongo unao ushahidi kuonyesha Kwanza kuwa CCTV na walinzi walikuwepo? Una ushahidi kuonyesha walinzi wakiondolewa au CCTV zikiondolewa? Ukiulizwa mahakamani unaweza kutoa ushahidi huu? Je unataka kutuambia walinzi waliwekwa kulinda kila MTU? Hivi walinzi WA chadema waliondolewa na nani? Ni Kwa nini hukuwahi na CCTV kwenye nyumba yako Kwa ajili ya usalama wako? Ni lini ulijua CCTV na walinzi wameondolewa? Ni kabla, wakati au baada ya tukio? Kama ulijua kabla Kwa nini hukuhoji au kuchukua tahadhari au kuarifu Chama chako wakuwekee ulinzi? Sidhani umejua hili wakati au baada ya tukio.
g. Je ukiwa mtunga sheria hujui kuwa ni kosa kupokea mshahara wakati mwajiri wako hana taarifa zako na kazini huonekani?
h. Umekuwa ukidai Tanzania hakuna demokrasia au uhuru wa kujieleza. Je Chama chako hakina vyombo vya habari? Hamtumii vyombo hivi for freedom of expression? Huwa hakuna uchaguzi? Ulipataje ubunge kama hakuna demokrasia?
h. Huwa unapenda kuonyesha unawajali Sana wananchi wanyonge. Je ni Kwa nini na wewe ni sehemu ya kuwanyonya wanyonge kupitia mishahara na marupurupu ya kibunge ambayo yanazidi ya wabunge katika nchi za magharibi?
i. Je katika maisha yako umewahi kumuona mhindi, Mzungu, Mwarabu, mlatino, mchina au mwafrika aliyekuja Tanzania kuongea na RTD au TVT au ITV au STAR TV au chombo chochote cha habari nchini kuhusu matatizo alivyopata nchini mwake? Unadhani ni kwa nini hujawahi kuona?
j. Mwisho kabisa Ndugu Lissu ningependa kujua katika maisha yako umewahi kutumia kisisimua ubongo cha aina yoyote?
Kumbe mashetani yamezagaa kila kona!!!Bila aibu unauliza maswali ya kiwendawazimu namna hii.Huu ujasiri wako ni wakiibilisi!!!
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,127
2,000
Kuna usemi wa kiswahili unasema "shimo lichimbwalo na ulimi, kiganja cha mkono haufuniki" Hapa maana yake nn? Unaweza kutumia bundiki kwa nia ya kumdhuru mtu lakini kwa bahati mbaya ikawa ni out of target. Kama ilivyokuwa kwa Mh Lissu. Lakini maneno yanayotengenezwa na ulimi yakitoka kinywani yametoka. Hata kama yametolewa gizani lazima mhusika ayasikie na lazima yatamchoma nafsi.

Hapa Lissu walimkosa kwa risasi sasa yeye anawashambulia kwa maneno makali yanayochoma mafsi zao. Na nikweli wanaumia hasa. Kamwe wahusika hawawezi kujisafisha kwa kutoa vitisho kwa Mh Lissu.
Mtoa mada ni miongoni mwa wanaoteseka kwa kuchomwa na ukweli wa maneno ya Lissu. Tumieni Hekima na Busara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,147
2,000
Amemaliza bbc, dw na voa! Anarudia tena round two au?
Anakutana na trump lini?
 
Kabembe

JF-Expert Member
Feb 11, 2009
2,545
2,000
Kwanza tujuze, wewe una matunda mangapi na unayatumiaje? Maana ni ujinga kumuuliza Lissu matundu ya risasi wakati kuna ripoti ya daktari.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom