JIPU: NBS kutopeleka michango ya waajiriwa wake (HBS) kwa mwaka mzima GEPF.

Amoxlin

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,784
4,097
Ofisi ya taifa ya takwimu (NBS) imewastaajabisha waajiriwa wake wa muda waliomaliza muda wao wa kazi katika mradi wa HBS uliofanyika kuanzia mwezi Disemba 2017 mpaka Novemba 2018.

Katika hali ya kushangaza NBS walikua wakilipa mishahara ya watafiti hao (kwa kusuasua) pasipo kupeleka michango katika mfuko wa hifadhi ya jamii GEPF ambao wafanyakazi hao waliunganishwa mapema kabla ya kuanza ajira.

Waajiriwa hawa wa mwaka mmoja (miezi 12) walipaswa kulipwa mafao yao kutokana na utaratibu wa kisheria.

Taasisi hii iliyopo chini ya wizara ya fedha inapaswa kujitathimini kwa hali hiyo na serikali kuu kuacha kuzinyooshe vidole taasisi binafsi halikua serikali yenyewe bado inashindwa kujisimamia isikiuke taratibu zake sambamba na kujiwajibisha pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

=====

UFAFANUZI

=======

Taarifa kuhusu makato ya GEPF kwa wadadisi wa HBS - JamiiForums
 
Ofisi ya taifa ya takwimu (NBS) imewastaajabisha waajiriwa wake wa muda waliomaliza muda wao wa kazi katika mradi wa HBS uliofanyika kuanzia mwezi Disemba 2017 mpaka Novemba 2018.

Katika hali ya kushangaza NBS walikua wakilipa mishahara ya watafiti hao (kwa kusuasua) pasipo kupeleka michango katika mfuko wa hifadhi ya jamii GEPF ambao wafanyakazi hao waliunganishwa mapema kabla ya kuanza ajira.

Waajiriwa hawa wa mwaka mmoja (miezi 12) walipaswa kulipwa mafao yao kutokana na utaratibu wa kisheria.

Taasisi hii iliyopo chini ya wizara ya fedha inapaswa kujitathimini kwa hali hiyo na serikali kuu kuacha kuzinyooshe vidole taasisi binafsi halikua serikali yenyewe bado inashindwa kujisimamia isikiuke taratibu zake sambamba na kujiwajibisha pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mnajitafutia aibu za bure! Hivi wakionesha kuwa walikuwa wanalipa hiyo michango kwa GEPF kwa wakati utaficha wapi uso wako? Tuwaombe NBS wakuumbue ili muache kusema uongo kama Ndugai alivyomuadhiri Zito
Nayakumbuka Mateso ya Lyamungo Sekondari - JamiiForums
 
Ofisi ya taifa ya takwimu (NBS) imewastaajabisha waajiriwa wake wa muda waliomaliza muda wao wa kazi katika mradi wa HBS uliofanyika kuanzia mwezi Disemba 2017 mpaka Novemba 2018.

Katika hali ya kushangaza NBS walikua wakilipa mishahara ya watafiti hao (kwa kusuasua) pasipo kupeleka michango katika mfuko wa hifadhi ya jamii GEPF ambao wafanyakazi hao waliunganishwa mapema kabla ya kuanza ajira.

Waajiriwa hawa wa mwaka mmoja (miezi 12) walipaswa kulipwa mafao yao kutokana na utaratibu wa kisheria.

Taasisi hii iliyopo chini ya wizara ya fedha inapaswa kujitathimini kwa hali hiyo na serikali kuu kuacha kuzinyooshe vidole taasisi binafsi halikua serikali yenyewe bado inashindwa kujisimamia isikiuke taratibu zake sambamba na kujiwajibisha pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeumbuka TAARIFA KUHUSU MAKATO YA GEPF KWA WADADISI WA HBS - JamiiForums
 
Back
Top Bottom