Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za Jumatatu hii wakuu. Binafsi niseme tu wazi kwamba lile tukio la uwanja wa taifa lilinisikitisha na lilinikatisha tamaa sana. Lilinifanya nianze kujitazama upya na kufikiria mwelekeo mpya...
2 Reactions
75 Replies
5K Views
Nafahamu kwamba Rwanda ilipiga marufuku matumizi ya mifuko na vifungashio vya plastiki miaka mingi iliyopita, lakini je, sisi kushindwa kupiga marufu mifuko ya plastiki ndio kisingizio pekee cha...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Ndugu wananchi, mimi nikiwa kama abiria kwenye ndege yetu ya AirTanzania, kulitokea vibwenga vya ajabu ambavyo watu wengi tulilalamika kuhusu tukio. Baada ya kujua chanzo, tulifurahi kile...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Mahakama ya Ilala imemwachia huru mfanyabiasha, Mohamed Kiluwa, aliyekuwa anakabiliwa na shtaka la kutoa rushwa ya dola 40,000 kwa Waziri Lukuvi baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha...
8 Reactions
154 Replies
21K Views
Hatimaye Mkurugenzi wa kampuni ya Uwindaji ya Oterlo Businness Coperation (OBC) Isack Lesian Mollel (59) aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu na jeshi la polisi mkoani hapa akiwa amejificha mafichoni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama Taifa tusipotumia njia walizotumia hawa hatufiki popote! Tanzania Tuna Sera na mipango mizuri sana lakini tatizo ni SIASA CHAFU,USIMAMIZI , UBINAFSI NA UWAJIBIKAJI Mipango mingi ni mizuri...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
KIJANA Priva Elian (29) anayeishi Useri wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, amefyeka sehemu zake za siri na kuziondoa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake wawili. Wakizungumza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wafanyabiashara wa maduka zaidi ya 150 katika kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wamegoma kufungua maduka wakipinga agizo la halmashauri ya manispaa ya Moshi ya kuwataka kulipa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
RAIS MAGUFULI NIPE WIZARA YA MAMBO YA NDANI KWA SIKU SABA NIUFUNGE MJADALA WA LISSU. Nimetafakari sana kwa niaba ya Chama changu, kwa niaba ya Serikali na Taifa kwa ujumla. Baada ya tafakuri, huu...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
Mi ni mpenzi wa TBC taifa.Na chanel zao zingine. Tatizo nikifungua TBC nikisikiliza baada ya muda mfupi unakuta chanel zingine zisizo za TBC zinaingilia kati. Inanipa tabu sana kurekebisha kila...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Habari Zenu! Nimechunguza katika awamu hii na zilizopita, naona kwa kipindi hiki cha Awamu ya tano matukio ya uporaji fedha katika mabenki au wateja wa benki kuporwa fedha wakitoka kuchukua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Eneo la mto Rufiji kama ionekanavyo kutoka angani. Pamoja na kelele nyingi zinazoendelea za kutaka kuishinikiza serikali ya Tanzania kuachana na mradi huo, mkandarasi Arab Contractors na El...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Watu wawili wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 21hadi 25 wamefariki baada ya kutumbukia katika maji ya mvua yaliyotuama katika shimo linalotumika kuchimba kokoto na mawe ya kujengea barabara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Washtakiwa watatu waliotuhumiwa kuchoma moto jengo la Kanisa Katoliki mkoani Kagera wamehukumiwa kifungo cha maisha jela. Chanzo: ITV habari! Maendeleo hayana vyama!
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mojawapo ya jumuiya zenye nguvu na zilizojikita vema hapa nchini hasa kwenye miji mikuu na midogo ni jamii ya Wasomali... Jamii hii imekijikita zaidi kwenye biashara na uwekezaji mwingine hasa...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Profesa Sabinus Brarugabwa wakati akifanya utafiti alikuwa akivuka mto Kiwira kwa mtumbwi wa kukodi...wakati akivushwa kwenye mtumbwi huo wakawa wanapiga stori na yule Nahodha wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
habar wanajamvi... wiki iliyopita nilienda ikulu kupata ufafanuzi na utaratibu wa kumuona katibu mkuu kiongozi, kuhusu namna ya kunisaidi sakata langu la ajira pia kuomba huruma yake, baada ya...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola amesema serikali itachukua hatua kali za kisheria kwa askari watakaobainika kutumia magari ya Jeshi la polisi kubeba kusafirisha ama kusindikiza dawa za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku moja baada ya mkutano mkubwa wa wananchi na mkuu wa mkoa wa SIMIYU ndgu Anthoni Mtaka,wa kubaini wauaji walio UA watoto wawili wa jinsia ya kike kisha KUWAKATA sehemu za siri,wauaji hao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliyekuwa Afisa Kazi Kanda ya Rungwe miaka ya 90 na 2000, alipata kuonyesha mshangao wake jinsi suala la madai ya mafao na stahiki za waliokuwa walimu na watumishi wa shule za sekondari za Ipinda...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom