Wewe ulitokaje?

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
59,413
119,308
Habari za Jumatatu hii wakuu.
Binafsi niseme tu wazi kwamba lile tukio la uwanja wa taifa lilinisikitisha na lilinikatisha tamaa sana. Lilinifanya nianze kujitazama upya na kufikiria mwelekeo mpya wa maisha yangu japo sioni direction.
Nikiongea na watu walionizidi umri,hekima na maarifa wananiambia kujiajiri pekee ndiko kutanikomboa...lakini nikiangalia mkononi sina kitu ntajiajiri vipi?
Najua wapo watu hapa waliokuwa kama mimi wakathubutu,wakaweza na sasa wanasonga mbele. Naomba waje waniambie walifanyaje? Yani waliweza kujiajiri bila kuwa na chanzo chochote cha mapato au kwa lugha nyepesi niseme bila mtaji.
Unaweza usiwe wewe ila una ndugu, rafiki,mke/mume,kimada au jirani aliyepitia experience kama hiyo hapo unakaribishwa.
Karibuni.
 
aisee,.. Nawe pia ni Great Thinker?

Hahaha...u great thinker wengine tunaupatia humuhumu mkuu tunaingia tukiwa empty headed kabisa so usimlaumu huenda yupo kwenye hatua za mwanzo kabisa za ukuaji...
 
kiukweli tunaishi kwa Imani.. sidhani kama kuna mtu anaweza akakuambia alifanyaje zaidi utajibiwa, "usijali utapata"

hayo ndo majibu yetu wa tz na hii ni kitokana na kila mtu na njia yake anayo/aliyopita...

Nami nakuambia "mdogo wangu usijali utapata tu"
 
Hahahaha....suala sio kupata....NTAPATA LINI??
 
Samahani kimada ndo nini?

Ningemshauri afanye editing kuondoa vineno vyenye kuweza kuwatoa watu kwenye focus. Atashangaa watu wanaanza kuchambua mambo ya vimada badala ya kumpatia ushauri wa kujenga.
By the way neno kimada kwenye thread hii inaashiria kabisa jamaa hayuko serious kuhitaji ushauri wa jinsi gani afanikiwe kwenye maisha.
 
Khantwe kweli Leo umeamka na changamoto hasa kwa sisi vijana
Waliofanikiwa wanatuambia "uthubutu" ila na mm hilo neno likanipa changamoto

Utaanze without capital?
Hata kama ni uwakala, mradi wa kuku, hat kilimo cha nyanya na vitunguu lazima uwe na pesa
Na ukisema ucoppy njia ya mwingine huwezi kufika kwa maana dream n vision ya mtu huwezi kuifanya kama ufanizi kama yye.

Nilienda semina za ujasiriamali kikubwa bila kamtaji ni vigumu
Labda tusubiri kusikia kwa wengine
 
Last edited by a moderator:

Acha kabisa kichwa kimevurugwa....na mimi nasubiri huo ushuhuda maana naamini wapo walioweza
 
Last edited by a moderator:
Duh. .... Twin leo umeokota wapi hili desa??? (jokes)

Ngoja nimtumikie mkoloni nitarudi kukupa desa ambalo wengine naweza sema limewatoa!!
 
Khaaa na umri unasonga ujue....

Amini usiamini hakuna ambaye hajaanza na msoto..inafika sehemu mpaka unahisi dunia haikutaki....lakini kumbe uwazalo wewe ni tofauti na Mungu akuanzialo...
tatizo uchumi nao unakaba lakini jaribu kubuni hata kitu kidogo tu cha kuanzia kuliko kukaa bure na kusubiri neema ya Mungu
 
Yap ila kila mtu ana kipimo chake cha uvumilivu.....then sijakaa bure luv...hapa nnakula nnavaa nnatembea bila kutegemea wahisani wamarekani...nnachotaka mimi hapa ni namna gani ntaweza kujiajiri.
 
Back
Top Bottom