Je Bashe ni chamdeko CCM?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
153,196
2,000
Mojawapo ya jumuiya zenye nguvu na zilizojikita vema hapa nchini hasa kwenye miji mikuu na midogo ni jamii ya Wasomali... Jamii hii imekijikita zaidi kwenye biashara na uwekezaji mwingine hasa ufugaji, kilimo na ardhi... Wengi wanaweza kunipinga lakini hawajui huu ukweli kwakuwa kwa sehemu kubwa jamaa hawa wamejitenga na dunia ya habari... They are low profilers....!!!!! Wanasiasa wanawahitaji sana wafanyabiashara kufanikisha jambo ama mambo yao... Money talk,... Money is everything....!!!!
Jamii hii pamoja na kucheza chini kwa chini lakini naweza kusema ni jamii inayoogepeka japo hatuwezi kukiri wazi na kwa hakika.... Ni jamii yenye umoja sana unapogusa maslahi yao ama damu yao... Tumeona wenzetu majirani zetu wakenya kinachowapata..... Wana umoja, ushirikiano na mshikamano wa nguvu kupitia mitandao yao waliojijengea kwa muda mrefu sana Africa na duniani kote kwa ujumla....!!!
Hawa jamaa ukiwakuta wanagombana uakwaingili... Watakugeukia wewe kwanza kisha wakishakutia adabu ndio wanaendelea na ugomvi wao.... Ni mojawapo ya Jamii zisizoruhusu ndoa na mgeni...
Bashe Hussein ni Mtanzania mwenye asili ya Somalia.... Ni kijana machachari na naweza kusema msumbufu ndani ya CCM kama walivyo vijana wenzake wote waliokuwa naye kundi moja....!!! Haogopi kusema kile anachoamini ni sahihi kwake japo pia unafiki anao.....
Wasumbufu wenzake karibia wote wameshashughulikiwa na wengine sasa hata wakitaka kuongea huangalia kushoto na kulia kwanza kabla ya kuongea.. Wametiwa ganzi hawafurukuti tena kama zamani..... Lakini yeye bado tunamuona akijinafasi kwa raha zake?
Hili deko lake hili na hiki anachoringia kuna siku vitaota mizizi na kuwafanya kitu kibaya mno....
Magugu hung'olewa wakati wa palizi yakiwa bado mateke na machanga.... Tumeyaona haya kwa bash boy.....

Jr
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
29,689
2,000
Go Bashe...!be strong!waache kina Bushiri wadekezane wenyewe kwa wenyew!
Kwakuongezea tu hakuna mtu mbishi kama bashe..anasimamia anachokiamini..!Hakubali kushindwa huyu..kiboko ya "Kigwangalalahoi"
 
Kahinda

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
948
500
Mojawapo ya jumuiya zenye nguvu na zilizojikita vema hapa nchini hasa kwenye miji mikuu na midogo ni jamii ya Wasomali... Jamii hii imekijikita zaidi kwenye biashara na uwekezaji mwingine hasa ufugaji, kilimo na ardhi... Wengi wanaweza kunipinga lakini hawajui huu ukweli kwakuwa kwa sehemu kubwa jamaa hawa wamejitenga na dunia ya habari... They are low profilers....!!!!! Wanasiasa wanawahitaji sana wafanyabiashara kufanikisha jambo ama mambo yao... Money talk,... Money is everything....!!!!
Jamii hii pamoja na kucheza chini kwa chini lakini naweza kusema ni jamii inayoogepeka japo hatuwezi kukiri wazi na kwa hakika.... Ni jamii yenye umoja sana unapogusa maslahi yao ama damu yao... Tumeona wenzetu majirani zetu wakenya kinachowapata..... Wana umoja, ushirikiano na mshikamano wa nguvu kupitia mitandao yao waliojijengea kwa muda mrefu sana Africa na duniani kote kwa ujumla....!!!
Hawa jamaa ukiwakuta wanagombana uakwaingili... Watakugeukia wewe kwanza kisha wakishakutia adabu ndio wanaendelea na ugomvi wao.... Ni mojawapo ya Jamii zisizoruhusu ndoa na mgeni...
Bashe Hussein ni Mtanzania mwenye asili ya Somalia.... Ni kijana machachari na naweza kusema msumbufu ndani ya CCM kama walivyo vijana wenzake wote waliokuwa naye kundi moja....!!! Haogopi kusema kile anachoamini ni sahihi kwake japo pia unafiki anao.....
Wasumbufu wenzake karibia wote wameshashughulikiwa na wengine sasa hata wakitaka kuongea huangalia kushoto na kulia kwanza kabla ya kuongea.. Wametiwa ganzi hawafurukuti tena kama zamani..... Lakini yeye bado tunamuona akijinafasi kwa raha zake?
Hili deko lake hili na hiki anachoringia kuna siku vitaota mizizi na kuwafanya kitu kibaya mno....
Magugu hung'olewa wakati wa palizi yakiwa bado mateke na machanga.... Tumeyaona haya kwa bash boy.....

Jr
Kinacho nishangaza hasa kwetu watanzania ni tabia ya kinafiki. Nina amini kuna idadi kubwa ya wanafiki ndani ya CC kuliko wapenzi wa CCM. Katika maisha kuna watu wawili tu wanaoweza kukuambia ukweli ( naked truth), nao ni
1. Rafiki wa kweli atakwambia ukweli hata kama unauma kwani hapendi uharibikiwe. Ukifanya vyema atakwambia ukweli na ukiharibu atakwambia ukweli.
2. Wapili ni adui yako huyu anakupa ukweli wako kwani hasa unapohalibikiwa ndo furaha yake.
Mimi binafsi nimekuwa nikimfuatia Bashe na kugundua kuwa ni kijana aliye na mapenzi na chama chake na anawaambia ukweli tofauti na hao waliojificha ndani ya unafiki. Ukweli unauma hasa ule usioupenda, lakini ni bora mtu akupe kwinini chungu upone kama una maralia kuliko kukupa panado ambayo inatuliza maumivu tu, jambo ambalo mashabiki wengi wa CCM tunafanya.
Labda nisaidiwe kujua katika mijadala ya bashe ni wapi haeleweki. Tukitaka kukisaidia chama chetu tuwe wawazi na wakweli " mbivu tuziite mbivu na mbichi tuziite mbichi" hapo tutakisaidia chama chetu tuache kuwa wanafiki au wenye nidhamu ya uoga kwa kisingizio cha heshima. Bashe anajiamini (confindent) lakini sisi tusio jua tuna mwona mkorofi ( arrogant). Nidhamu hii ya woga ndo inatumaliza watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom