Mwananchi AUWA na kukatwa SEHEMU ZA SIRI MKOANI SIMIYU

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,472
2,000
Siku moja baada ya mkutano mkubwa wa wananchi na mkuu wa mkoa wa SIMIYU ndgu Anthoni Mtaka,wa kubaini wauaji walio UA watoto wawili wa jinsia ya kike kisha KUWAKATA sehemu za siri,wauaji hao wameendelea na zoezi la uuaji kwa kumuua MAMA MMOJA na kumkata SEHEMU zake za siri na kuondoka nazo.

Tukio ilo limetokea eneo la Ramadi,mkoani simiyu huku mkuu wa mkoa akiwa amemaliza kuendesha zoezi la upigwaji wa Kura za kuwabaini waarifu hao!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom