Mahakama yamwachia huru aliyepigwa kabali na kuporwa pesa zake na Waziri Lukuvi, yataka pesa zake arudishiwe

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Mahakama ya Ilala imemwachia huru mfanyabiasha, Mohamed Kiluwa, aliyekuwa anakabiliwa na shtaka la kutoa rushwa ya dola 40,000 kwa Waziri Lukuvi baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake kwamba ushahidi wa mashtaka ulikuwa wa hisia. Pia imeamuru arudishiwe fedha zake Milioni 90.

Kiluwa.jpg

Pia soma
> Anayetuhumiwa kutoa rushwa ya Milioni 90 kwa Lukuvi afikishwa Mahakamani - JamiiForums
> Anayedaiwa kutoa rushwa kwa Waziri Lukuvi akutwa na kesi ya kujibu - JamiiForums
> Mshtakiwa: Waziri Lukuvi alinipiga kabari na kunipora begi lenye pesa - JamiiForums
 
Naye kaharibu kweli angempigia kelele za mwezi halafu askari wamuue wale si wanarukhusa?
 
Hii inathibitisha lukuvi siyo msafi, si ajabu hata hii program yao na makonda waliyoanza ni kwa ajili ya kuficha hii aibu, watu wanaotaka kuleta viwanda wanahujumiwa
 
Back
Top Bottom