Kaya zaidi ya 2086 za vitongoji viwili vya Migombani-Mbuyuni na Mchangani Kijiji cha Kirambo kata ya Tangazo Tarafa ya Kitaya mkoani wa Mtwara wamelazimika kuyahama makazi yao kwa kutumia Mitumbwi...
habari wadau.. kuna jambo linanishangaza sana..
ukiwa unafanya biashara yeyote.. mara nyingi ndugu, jamaa na marafiki ambao hawana experience ya biashara hiyo au hawana biashara yeyote, wanapenda...
Mimi kwetu Moshi nyumbani moshi naishi moshi kwa sasa ila sikuwahi kutembea kivile kujuwa moshi in deep nimefurahi kuona watu wanapambana aisee
Kilimanjaro ni miongoni mwa mikoa yenye watu...
Taarifa kutoka Polisi mkoani Arusha zinasema watu hao 10 walifika nchini miezi mitatu iliyopita na kupata visa halali ya kuwawezesha kufanya kazi za maandalizi ya ujio wa mfalme huyo.
Visa zao...
Serikali imeahidi kutatua mgogoro wa Mpaka kati ya Tanzania na Kenya katika Kijiji cha Mahandakini, Wilayani Mkinga mkoani Tanga, baada ya kupata malalamiko kutoka kwa wanakijiji wanaoishi katika...
Hakuna kazi ngumu kama ya bank,Kwa mamlaka uliyonayo tunakuomba uwaondolee siku ya Jumamosi,ukienda NMB head ofice watu wamekodolea komputer macho kodo asubuhi mpaka usiku.
Kwa mfano ukienda...
Makamo wa rais leo tarehe 16/2/2019 ameanza ziara ya siku 5 mkoani singida kwa lengo la kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa mkoani humu na Serikali yetu chini ya chama chetu cha ccm.
Kwa...
Kweli nimechukizwa kwa kuondolewa kwa huo uzi,hapakuwa na lugha chafu iliyotumika kumgusa mtu wala kumuudhi mwingine,lakini nashangaa uzi umeondolewa. Mbona ule wa lugha ya mtaani Kenya"sheng"...
Kwa siku za karibuni mtandao wa Tigo umekuwa na matangazo mengi kupitia sms. Matangazo ya matumizi ya Tigo app na mengineyo. Lakini wanaenda mbali zaidi mpaka wakati mwingine kupiga simu kwa...
Kwa mara ya kwanza leo nimepita barabara ya KIA -Mirerani na kwa macho yangu nimejionea uzuri na uimara wa barabara ya lami iliyozinduliwa na Mh. Rais hivi karibuni. Kwa wanaofahamu barabara hiyo...
Imeripotiwa kuwa wafanyabiashara wa stendi ya mabasi Moshi wamelazimika kufunga maduka yao baada ya ongezeko la kodi ya pango kwa mwezi, wamedai kuwa ongezeko la kodi linawataka kulipa kiasi cha...
Tangu alipokuwa akifanya Kampeni za kuwania kiti cha Urais nchini Marekani,Donald Trump aliahidi atakapopata nafasi hiyo atajenga ukuta kudhibiti wimbi la wakimbizi kutoka Mexico,amefanikiwa...
Kitaa kila kijana mla bata alikuwa anamfahamu zungu pacha. ( Sitotaja jina lake halisi) mshkaji alimaliza kidato cha sita akaamua kupambana na maisha kwa namna nyingine.sababu alikuwa mpambanaji...
Kwakuwa wewe uko na unaongea nao vizuri ninaomba tafadhali mkikutana uso Kwa uso utusaidie kuwakumbusha na kuwadai yafuatayo.
1. Watulipe fidia Kwa Mali zetu walizotuibia wakati wa ukoloni...
Tanzania iliingia kwa nguvu katika soko huria kipindi cha uongozi wa Rais Mkapa. Kwenye soko huria kama yalivyo mambo mengine mengi kuna faida na hasara.
Kwa serikali ya awamu ya tatu kuamua...
Napenda kutoa taadhari wana JF na kuwaomba TCRA kuwa makini pindi wanapotoa leseni kwa makampuni ya kutoa huduma za malipo kupitia njia ya simu za mkononi.
Awali nilijulishwa huduma hii na watu...
Kuna dhana ambayo imekuwa inajengwa na baadhi ya watu ambao haitakii mema nchi yetu hasa baada ya utawala huu wa awamu ya tano kuingia madarakani na kuwa na misimamo mikali sana kuhusu masuala...
Mkazi wa kitongoji cha Ukindo kijiji cha Lugalawa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe aliyefahamika kwa jina la Osmund Joseph Mwinuka anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 37 amefariki dunia kwa kuchomwa...
Hata vitabu vya kinabii vilisema nyakati za mwisho watu watakuwa wakatili.na ndivyo ilivyo watu.lawama nyingi wanapewa polisi lakini fuatilia mitaani matukio ya mauaji hayaishi.hatuwezi kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.