Mee wa Mavituuzi
Member
- Aug 2, 2007
- 61
- 6
Ndugu wananchi,,mimi nikiwa kama abiria kwenye ndege yetu ya
AIRTANZANIA ,kulitokea vibwenga vya ajabu ambavyo watu wengi tulilalamika kuhusu tukio,,baada ya kujua source tulifurahi kilichotokea "KUSHUSHWA ABIRIA"kwenda sehemu ya kupumzikia
tukio zima lilikuwa hivi,,tulipopanda abiria wameshakaa muda unaenda tukaanza kulalmika,,nini kinaendelea hapa rubani alichemsha kutotuambia mapema,,gafla wafanyakazi wakawwa wanapishana,,nkamuuliza mmoja wao nini kinaendelea kuna abiria harusiwi kupanda airtanzania,,tukauliza nani kumbe ni BWANA NYITTI yule mfanyabiashara wa madini arusha,,tukalamika kwanini ashushwe jamani,,,ndipo dada mmoja akatueleza yafuatayo na hili liwe fundisho kwa wafanyabiashara pesa hainunui utu,,
Bwana nyiti siku moja akitokea dar kwenda arusha alipata kuwadhalilisha wafanyakazi wa ndege akishirikiana na police mkuu wa kituo ambae yupo airport hivi sasa,,akadai ameibiwa madini wakachukuliwa na kusachiwa mpaka nguo za ndani wote wakiondolewa na defender ya police pale uwanjani,,hakuna aliekutwa na kitu chochote,,wakaachiwa baada ya kupigiwa mkuu wa mkoa alieamuru waachiwe waende hotelini,,baada ya kuulizwa kwa undani dada mmoja mfanyakazi wa ndege alipata kupendwa na bwana nyitti,,akatumia njia nyingi kumpata ikiwepokudanganywa na wafanyakazi wa ndani watamsaidia na hivyo kugawa fedha ovyo kila safari,,baada ya kuona hakuna mafanikio ndipo siku ya siku jakamkuta yuko ndani ya ndege na kuamua kumaliza matatizo yake,,huu ni uonevu wa hali ya juu kama siunyanyasaji wa kijinsia,,tunasikitika na kulaani GAZETI LA MAJIRA