bukoba04
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 1,402
- 1,291
habar wanajamvi...
wiki iliyopita nilienda ikulu kupata ufafanuzi na utaratibu wa kumuona katibu mkuu kiongozi, kuhusu namna ya kunisaidi sakata langu la ajira pia kuomba huruma yake, baada ya kusitishiwa ajira (ajira mpya) ili kupisha zoezi la watumishi hewa, huku nikiwa na document za kumshawishi kurudi kazini (supportive documents)...
Baada ya kufika na kuonana na walinzi na baadhi ya watu wa mapokezi, waliniambia ni vema ukaandika barua ya kulalamika au kuomba katibu mkuu kiongoz asaidie suala lako, kuliko kuomba appotment, suala ambalo litachukua muda mrefu sana kujibiwa...
hivyo wiki hii nimeanza kuandika hiyo barua, ila nimeshindwa kupata anuani sahihi ya huyu mkuu, mwenye kuweza naomba anisaidie...
ila pia kama kuna mtu ambaye anaweza kunisaidia format nzuri, naomba msaada kwa kuwa naandika hii barua kwenda kwenye taasis yenye mamlaka ya juu sana kabisa katika utawala wa nchi hii
natanguliza shukrani