Bukoba: Mahakama yawahukumu watatu kifungo cha maisha jela baada ya kuwakuta na hatia ya kuchoma moto Kanisa Katoliki

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Washtakiwa watatu waliotuhumiwa kuchoma moto jengo la Kanisa Katoliki mkoani Kagera wamehukumiwa kifungo cha maisha jela.

Chanzo: ITV habari!

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom