Kiukweli inanishangaza sana ni kwa kivipi Hawa watoto na wadogo zetu wanafeli mitihani yao ya kidato Cha nne, Kwa wale walioenda shule haswa watakubaliana na mimi kidato Cha kwanza mpaka Cha nne...
Katika kile ambacho kinazungumziwa na "Wanasheria" sasa wazungu kuletwa Kulinda mali na wafanyakazi(wazungu) wa Accacia
Kwa udadisi mfupi niliyofanya baada ya Accacia kutoa matamshi haya, "We...
Habari ndugu!
Ni kweli sote tunapenda maendeleo, tunapenda njia ya mkato, lakini ukweli ni kwamba hakuna jambo linalotokea Kwa bahati mbaya!
Maswali yafuatayo nimekusogezea wewe mchezaji ili...
Kuna Mtu mmoja aliwahi kuniambia kuwa hapa duniani epuka sana kusemasema baadhi ya maneno bila kuyapima au kuyachuja kwani maneno mengine huwa ni Nuksi / Mkosi pasipo Mhusika kujua na baadae huja...
Ni vipi duka moja linadaiwa kodi moja mara mbili! Kodi hiyo ni ile ya jengo ambalo mwenye duka amepanga ikiitwa WITHHOLDING TAX. Kodi hii kwanza haistahili kulipa na mpangaji kwani haitawezekana...
Hello wana jukwaa mpo wazima ni Imani yangu "Japo tunaendelea kulima mpunga kwenye lami" huu mwezi wa tatu tangu tumeuaga mwaka 2018 lakini nieona ni vyema tukumbushane mambo yaliyotushangaza...
Binadamu / mtoto akizaliwa lazima alie - kinachomliza huwa ni nini?
Kuna post kikirishi ... ukizisoma na ukatulia .. zinaonesha wazi kwamba roho ziko nyingi ila hazina makao ya kimwili. Roho...
Habarini,
Mi ni msikilizaji wa Clouds Redio kwa baadhi ya vipindi kikiwemo kipindi cha JAHAZI kinachoanza jioni majira ya saa kumi mpaka moja jioni.
Katika kipindi hiki E. Kibonde ni mmoja wa...
Huyu Kibonde anadai Rais ni kama ameingilia mhimili mwingine ( Bunge) kwa kumfukuza Charles Kitwanga. Anahoji... je, kuna barua au maandishi toka mamlaka ya bunge kwenda kwa Rais ikalamika kuhusu...
Utabiri wa hali ya hewa siku ya leo inaonesha kiwango cha joto Dar es Salaam kiko chini kuliko maeneo mengi nchini 24°C, je, hii iko sahihi?
Chanzo Channel Ten TV.
Leo March 7, 2019 Kijana Daniel Jackson aliyefariki December 2018 amedaiwa kufufuliwa na mtaalamu wa tiba za jadi huku ikielezwa kwamba alichukuliwa ‘msukule’ ambapo Mama yake mzazi amesema...
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina...
JPM ameshinda walau kwa sasa
Na Ahmed Rajab
“LINI?” Ni swali nililojiuliza, mara kwa mara, tangu Januari 8 mwaka jana kila nilipomsikia Edward Lowassa akitajwa. Januari 8, 2018, ndiyo siku...
Hello bosses
ukiambiwa ua ukiombwa umshauri kijana wa miaka 21-29 utamshauri nini??, kuhusu secta yoyote kiuchumi, kijamii, kimasha, etc
tu assume amemalizaa chuo
Madereva wengi wa magari ya mizigo wamekuwa na tabia ya kuweka free malori wakati wakiwa kwenye miteremko ili kuokoa mafuta, mafuta ambayo baadaye huyanyonya kwenye vidumu na kwenda kuyauza (kama...
Nasikiliza Clouds FM hapa kipindi cha jahazi, Kibonde anajaribu kusafisha mto ulochafuka. Lakini mtazamo wangu ni kwamba anajaribu kutia sukari baharini, huku akimponda mtumishi wa mungu Baba...
Kwamba ipo siku utakufa.
Sote tutakufa.
_____
Amani iwe kwenu.
Huu ndiyo ukweli usiopingika, uwe mwenye imani kuwa Mwenyezi Mungu yupo au la, siku itafika utakufa.
Ule vizuri, ufanye mazoezi...
Kila mtu kwa nafasi yake anamapungufu yake, ni busara kila mtu kujitathimini na kujua ni mapungufu yapi yanamrudisha nyuma katika nyaja tofautitofauti za kujiletea maendeleo, kwa kufanya hivyo...
Nipo hapa nasikiza hiki kipindi cha Jahazi.
Namsikia huyu mzee Ephraim Kibonde anasema kuwa "Rais wa africa ambaye yuko madarakani akigombea urais akaukosa atakuwa ni mpumbavu sana"
Ameenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.